Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZALISHENI KWA WINGI ILI WATANZANIA WAMUDU BEI YA BIDHAA ZA MAPAMBANO YA COVID 19 RAS ARUSHA






Karibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiwa na Mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Dkt.Edson Sichalwe wakiwa na Meneja wa Sido Mkoa wa Arusha Nina Nchimbi pamoja na Mwenyekiti wa wajasiriamali wadogo wa Sido Mkoa Yasin Bakary wakati wa utambukishaji wa bidhaa zao kwa ajili ya mapambano ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa homa kali ya mapafu Covid 19 leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Katibu tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea na vyombo vya habari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu bidhaa za kujinga na Covid-19, ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakipandisha bei, Waziri amewataka waache hiyo tabia kabla ya kuchukuliwa hatua kali, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Dkt. Ngenya, na kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), John Mduma katika mkutano na Waanshi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

 ========  ========  =======
Serikali kupitia...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAENDELEO ARUSHA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SRIKALI MAPAMBANO DHIDI YA COVID-19 KWA KUTOA MISAADA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

WADAU wa Maendeleo Mkoa wa Arusha wameunga mkono juhudi za Serikali dhidi ya mapambano ya ugonjwa hatari wa Covid-19 kwa kutoka misaada mbalimbali kama njia mojawapo ya kukabiliana maambukizo ya virusi vya Corona.

Misaada hiyo imetolewa na kampuni ya vinywaji vikali ya Mega Beverage ya jijini hapa kuwa ambapo imetoa lita 2500 za vitakasa mikono pamoja na madumu 50 ya kunawia maji yanayotiririka vyenye thamani ya sh,milioni 46.

Wadau wengine waliojitokeza kuchangia...

 

11 years ago

Habarileo

‘Zalisheni bidhaa zenye ubora unaotambuliwa TBS’

WAJASIRIAMALI wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora badala ya kutengeneza na kuziuza kwa wananchi wakati bado hazijapimwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Aidha wajasiriamali 258 wamefikiwa na TBS na kupimiwa ubora wa bidhaa zao nchi nzima.

 

5 years ago

Michuzi

TUZALISHE KWA WINGI BIDHAA TULIZOKUWA TUNAAGIZA KUTOKA NJE: PROF SHEMDOE


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe wa kwanza kulia akiwa kwenye Mkutano wa Watalaam wa Mashirika ya Viwango kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya Video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw.Athuman Ngenya.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

10 years ago

Vijimambo

NJOMBE NA IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MEMBE ILI AGOMBEE URAIS WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Njombe, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Njombe Jana, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 360.Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

WANANJOMBE NA IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MEMBE ILI AGOMBEE URAIS WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Njombe, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Njombe Jana, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 360.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora

Na Woinde Shizza, ArushaWANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kipindi cha kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye anaweza kuiongoza serikali na kuiletea nchi maendeleo kama vile Rais Wa awamu ya tano John Magufuli alivyofanya.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti Wa umoja Wa jumuiya ya wazazi nchi Edmund Mundolwa wakati akiongea na wananchi, makadi wa CCM Wa halmashauri ya Meru alipofanya ziara ya kutembelea na kuona kuzindua rasmi mradi Wa Nyuki uliopo katika Kijiji cha Sakila chini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani