Zantel Tanzania yamtangaza Benoit Janin kuwa Mkurugenzi mpya
Mkurugenzi mpya wa kampuni ya Zantel, Bwana Benoit Janin akizungumza na wafanyakazi wakati wa hafla ya kumkaribisha.
Kampuni ya simu za mikononi ya Zantel leo imemtangaza bwana Benoit Janin kuwa Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo.
Bwana Janin anachukua nafasi ya Pratap Ghose ambaye ameiongoza kampuni hiyo kwa muda wa miaka mitatu.
Uteuzi wa Janin unafatia kampuni ya Millicom kununua hisa za kampuni ya Zantel ambapo sasa itashirikiana na serikali ya Zanzibar kuhakikisha kampuni ya Zantel inakua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi03 Nov
Zantel staff meets with Benoit Janin new CEO
Prior to joining Millicom Group Benoit has worked for almost 3 years in Vimpelcom group...
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Hatimaye Chelsea yamtangaza Guus Hiddink kuwa meneja mpya wa timu hiyo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ikiwa zimepita siku tatu tangu uongozi wa klabu ya Chelsea kumtimua kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mreno Jose Mourinho hatimaye taarifa zimetoka ndani ya timu hiyo kuwa, Mholanzi Guus Hiddink (pichani) amekuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya Uingereza.
Katika taarifa iliyotolewa na ukurasa wa klabu hiyo wa Twitter umeeleza kuwa Hiddink atakuwa meneja wa Chelsea mpaka mwisho wa msimu huu wa 2015/2016.
Hiddink hii siyo mara yake ya kwanza kuifundisha timu hiyo ya...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-PQPYGEH-0AQ/VjIijlUTHMI/AAAAAAABYPI/KRPt_5V2Vx0/s72-c/Magufuli-1.jpg)
BREAKING NEWS: NEC YAMTANGAZA DK. JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-PQPYGEH-0AQ/VjIijlUTHMI/AAAAAAABYPI/KRPt_5V2Vx0/s640/Magufuli-1.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848...
10 years ago
Michuzi06 Oct
Biswalo Mganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka mpya
Imetolewa...
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Rais amteua Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi mpya wa Mashitaka
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amemteua Bwana Biswalo Mganga kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) nchini.
Taarifa iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam, leo, Jumatatu, Oktoba 6, 2014, na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Bwana Peter Ilomo imesema kuwa uteuzi huo umeanza Ijumaa iliyopita, Oktoba 3, mwaka huu, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Mganga alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka na Wakili wa Serikali...
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
JK amteua Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
26 Oktoba, 2015
10 years ago
Bongo511 Aug
Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qxLZZri3zyU/Vco8yXfpqSI/AAAAAAAHwHw/8-7huTseWEY/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director