Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar ni kamili, siyo nchi ya ‘kusadikika’

>Jambo linalosemwa mara  nyingi  ni marekebisho ya kumi ya Katiba ya Zanzibar ambayo yanadaiwa kwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya ‘Zanzibar siyo nchi’ yamponza Waziri Mkuu Pinda

Madai ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuingia katika kinyang’anyiro cha urais yameibua mjadala mkali kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, wasomi na wananchi wa Zanzibar ambao wamesema hafai kutokana na kauli yake kuwa ‘Zanzibar si nchi’.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Obama siyo rais mweusi kamili Marekani’

Mmoja ya watu wanajulikana kwa utajiri mkubwa wa vyombo vya habari duniani amesema kuwa Marekani haijapata rais anayewakilisha uhalisia wa kweli juu ya jamii ya watu weusi.

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Bagonza: Mipaka ya nchi siyo salama

>Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Dk.Benson Bagonza ameonyesha wasiwasi wake kuhusu hatua ambazo Serikali inachukua katika kudhibiti kuingia kwa ugonjwa wa Ebola kwenye mipaka ya Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Shein: Zanzibar ina mamlaka kamili

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar inayo madaraka kamili ya kuendesha nchi na kufanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na kushangazwa na watu wanaodai mamlaka yake yameporwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa kamili ya kuahirishwa kwa uchaguzi Zanzibar iko hapa

IMG_4387

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

TUME ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) , imefuta na kuhairisha matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na kujitokeza kwa kasoro mbali mbali za ukiukaji wa sheria na kanuni za uchaguzi Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha alisema kuwa kutokana na kasoro mbali mbali zilizojitokeza katika uchaguzi huu na kusababisha vikwazo mbali mbali...

 

11 years ago

Michuzi

WACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake. Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla...

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar wamuenzi Nyerere kwa vitendo, siyo porojo

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza miaka miaka 15 tangu kufariki dunia Oktoba 14, mwaka 1999.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani