Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya Kinana yaibua ufisadi Kalambo

ZIARA ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wilayani Kalambo, imeibua mgogoro wa mgawo wa fedha za chama hicho za wilaya, uliokuwa unafukuta. Kutokana na hali hiyo, ameamuru uchunguzi ufanyike haraka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

PAC yaibua ufisadi mwingine

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeanika madudu na kashfa za kutisha katika ripoti maalumu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikiwa ni pamoja na zaidi ya Sh100 bilioni kukwepwa kulipwa na kampuni mbalimbali kwa kivuli cha misamaha ya kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ziara ya mwandishi wa Uingereza yaibua mazito

MWANDISHI wa gazeti la Daily Mail la Uingereza, Martin Fletcher, aliyeletwa nchini na serikali, amezidi kuibua mazito baada ya Mhifadhi Mkuu wa Pori la Akiba la Selous, Benson Kibonde, kusema...

 

10 years ago

Mwananchi

Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha

Timua timua ya makocha ndani ya Yanga imeibua ufisadi wa zaidi ya Sh3 bilioni ndani ya klabu hiyo huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika.

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Festo Chonya wa pili kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Kalambo Bi. Mapinduzi Severian mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani Nkasi mapema leo asubuhi tarehe 22 Mei, 2014. Mratibu wa Mwenge Mkoa wa Rukwa Ndugu Abuubakar Serungwe kulia akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Wilaya ya Nkasi kwa ushirikiano walioutoa wakati Mwenge huo upo Wilayani humo. Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bi. Rachel Kassanda akizindua...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA MWENGE WA UHURU WILAYANI KALAMBO MKOANI RUKWA LEO

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Festo Chonya wa pili kulia akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Kalambo Bi. Mapinduzi Severian mara baada ya kumaliza mbio zake wilayani Nkasi mapema leo asubuhi tarehe 22 Mei, 2014. Mratibu wa Mwenge Mkoa wa Rukwa Ndugu Abuubakar Serungwe kulia akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Wilaya ya Nkasi kwa ushirikiano walioutoa wakati Mwenge huo upo Wilayani humo. Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Bi. Rachel Kassanda akizindua rasmi...

 

11 years ago

Michuzi

JUHUDI ZA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUENDELEZA UTALII WA MAPOROMOKO YA KALAMBO (KALAMBO FALLS) ZAENDELEA

Kaimu Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya ya Kalambo Ndugu Makwasa Biswalo (katikati) akimuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya eneo lililopimwa katika kijiji cha Kapozwa kwa ajili ya kuendeleza Utalii katika Kijiji hicho ambacho kina maporomoko ya mto Kalambo (Kalambo Falls), maporomoko ambayo ni ya pili kwa urefu barani Afrika yakiwa na urefu wa mita 235. 
Zipo jitihada kadhaa zilizokwishafanywa na uongozi wa Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya katika...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA WANANCHI WAISHIO KANDO KANDO YA BANDARI YA KASANGA,WILAYA MPYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na baadhi ya viongozi wa chama Wilaya ya Kalambo,wakikatiza kwenye Ofisi ya CHADEMA,ambayo inadaiwa imefungwa yapata miaka mitatu sasa, kwa kushindwa kulipia pango.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akibeba tofali aliyoifyatua,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa jengo la CCM,wilayani Kalambo.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kata ya Kasanga,iliopo ndani ya wilaya mpya ya Kalambo,mkoani Rukwa mapema jana jioni.Kinana bado...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani