Ziara ya Muhongo yawanyima mapumziko RC, DC
Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo mkoani Kagera, imewasotesha wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa na kulazimika kuacha mapumziko ya Jumapili wakiambatana naye kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA
10 years ago
VijimamboWAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Syria yawanyima chakula wakimbizi
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Majengo yawanyima raha walemavu nchini
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
11 years ago
Habarileo13 Jan
Leo ni mapumziko
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza leo kuwa ni Siku ya Mapumziko kwa Watanzania wote, ili kuendelea kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964. Rais Kikwete ametangaza uamuzi huo mjini Zanzibar jana, ambako aliungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusherehekea siku hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Leo siku ya mapumziko
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza leo ni siku ya mapumziko kwa Watanzania wote kusherehekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mapumziko ya JK yawaponza Strabag
WAFANYAKAZI wawili na vibarua 50 wa Kampuni ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT) ya Strabag, wamefukuzwa kazi kwa kile kilichodaiwa kutokwenda kazini Januari 13, mwaka huu ambayo...
10 years ago
MichuziKAZI NA MAPUMZIKO NDO MPANGO