Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leo ni mapumziko

RAIS Jakaya Kikwete ametangaza leo kuwa ni Siku ya Mapumziko kwa Watanzania wote, ili kuendelea kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964. Rais Kikwete ametangaza uamuzi huo mjini Zanzibar jana, ambako aliungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusherehekea siku hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Leo siku ya mapumziko

RAIS Jakaya Kikwete ametangaza leo ni siku ya mapumziko kwa Watanzania wote kusherehekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapumziko ya JK yawaponza Strabag

WAFANYAKAZI wawili  na  vibarua 50 wa Kampuni ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT) ya Strabag, wamefukuzwa kazi kwa kile kilichodaiwa  kutokwenda kazini Januari 13, mwaka huu ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

KAZI NA MAPUMZIKO NDO MPANGO

Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa katika mapumziko juu ya kifaa chake cha kazi kama alivyo kutwa mapema leo na kamera ya Globu ya Jamii  jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Mapumziko ya ligi yatumike kujitafakari

Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili iliyopita ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo mbalimbali yakijitokeza.

 

9 years ago

Habarileo

Azam FC yafuta mapumziko ya Pluijm

KOCHA wa timu ya soka ya Yanga, Hans van der Pluijm amesema ameamua kutokwenda mapumzikoni nchini Ghana kwa sababu ya kuandaa programu muhimu ambazo anaamini ndizo zitakazoisaidia timu yake kutetea ubingwa wao msimu huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Ziara ya Muhongo yawanyima mapumziko RC, DC

Ziara ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo mkoani Kagera, imewasotesha wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa na kulazimika kuacha mapumziko ya Jumapili wakiambatana naye kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua mapumziko Des 9

SERIKALI imesema Sikukuu ya Uhuru ambayo huadhimishwa Desemba 9, kwa mwaka huu wafanyakazi wa umma hawatakwenda kazini, bali watabaki majumbani mwao kwa kushiriki kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali kama alivyoagiza Rais John Magufuli.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapumziko Siku ya Mapinduzi yakanganya wengi

 Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutangaza Watanzania Bara kuungana na wenzao wa Zanzibar kupumzika kusherehekea Sikukuu ya Mapinduzi, kumezua mkanganyiko kwa wafanyakazi na watu wa kada mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Ufanye mazoezi yapi kipindi cha mapumziko

Watu wengi kipindi hiki huwa wanajisahau kutokana na kuwa na mialiko mingi na ndiyo maana wataalamu wa masuala ya mazoezi wanashauri kufanya yale ambayo yanaendana na kipindi hiki ambayo ni pamoja na kutembea:

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani