Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zijue kazi za viambishi

Viambishi vina dhima kubwa katika sarufi. Katika mada hii tutajadili matumizi mbalimbali ya viambishi Na, Ki, U, Ni, Ji, Ku, Li, na Kwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE UMEACHISHWA KAZI AU WE NI MFANYAKAZI, ZIJUE HAKI ZAKO ZA MSINGI

Na Bashir Yakub.
Kuongezeka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kumetengeneza wingi wa ajira maeneo mbambali ya nchi. Mbali na kuongezeka kwa ajira hizi kumekuwepo na tatizo kubwa la waajiriwa kutojua haki zao mbalimbali wawapo maeneo ya kazi.
Niseme jambo moja tu kuwa hakuna suala la msingi kama muajiriwa kujua haki zake. Hii ni kwasababu kupitia kujua haki zake ndipo anapoweza kupata ujira stahiki, posho stahiki, masurufu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE UMEACHISHWA KAZI AU WE NI MFANYAKAZI, ZIJUE HAKI ZAKO ZA MSINGI - 2

Na   Bashir  Yakub.
Jumatatu  ya  wiki  hii nilianza  na  makala  iitwayo   je  umeachishwa  kazi  au we  ni  mfanyakazi,  zijue  haki  zako. Nilizungumzia  masuala  kadhaa  yahusuyo  haki  za  mfanyakazi. Naligusia  kuhusu  aina  za  mkataba wa ajira, muda wa mkataba  wa ajira,  sehemu  ya  kufanyia  kazi, kipindi  cha  mpito katika  kazi (probation period) na mengine  mengi kuhusu  ajira. Nilisema  na  leo  tena  nasisitiza  kuwa  ili  upate  ujira  unaostahili   ikiwa  ni  pamoja  na...

 

10 years ago

Mwananchi

Zijue English tenses

Baada ya kujifunza maumbo (forms) mawili kati matano ya vitenzi (verbs) vya Kiingereza ambayo tutayatumia katika kuunda’English tenses’, leo tutaendelea kujifunza maumbo zaidi. Kabla ya kuendelea tujikumbushe baadhi ya vitenzi na maumbo yake.

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!-2

NI matumaini yangu wapenzi wasomaji wa safu hii mko poa. Leo tunamalizia vipengele vilivyosalia wiki iliyopita, ungana nami. 6.Karaha
Hili pia ni tatizo la wanawake ambalo hawapendi kulikubali. Karaha nyumbani dhidi ya mwanaume huweza kumfanya ajisikie kuhitaji faraja nje ya nyumba. Na wanawake wengi wakimuona mwanaume yupo peke yake baa, hujua kuwa atakuwa amekimbia maudhi ya mkewe na anahitaji faraja. 7.Huruma ya wanawake
...

 

11 years ago

Mwananchi

Zijue mbinu za uwekezaji makini

Ukiamua kuwekeza kupitia masoko ya mitaji na dhamana inatakiwa uwe na malengo ya muda mrefu na uwe umefanya utafiti. Pia ukiwa unataka kuuza hisa inatakiwa uwe na sababu maalumu za kufanya hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

Zijue faida za domain ya .co.tz badala ya .com


Ni mara ngapi umekuwa ukiumiza sana kichwa kwa sababu majina yote ya .com yanayoendana na jina halisi la biashara yako tayari yameshachukuliwa? mfano, wewe kampuni yako inaitwa Dudumizi, na kila ukitafuta dudumizi.com , Dudumizi.net na hata Dudumizi.info unakuta tayari yameshachukuliwa, hakuna sababu ya kuchanganyikiwa, tunayo .co.tz, majina ya kitanzania zaidi.
Watu wengi wamekuwa wakipendelea kutumia majina ya .com. Wengi wamekuwa na imani kuwa kwa kutumia majina ya .com kinawafanya...

 

10 years ago

Mwananchi

Zijue aina za mikataba ya ajira

Ule msemo wa kazi nzuri ukiwa hujaipata na huwa mbaya ukiwa nayo, unaweza ukaonyesha uhalisia wakati unapopaswa kufahamu ni aina ipi ya mkataba wa ajira uliosainiwa kati ya mwajiri na mwajiriwa.

 

10 years ago

GPL

ZIJUE SABABU ZA WANAUME KUCHEPUKA!

Mambo vipi msomaji wa safu hii. Bila shaka unaendelea vizuri na harakati zako za kimapenzi na kwa mara nyingine upo tena katika safu hii ili kufuatilia nini kimejiri. Moja ya tatizo kubwa kabisa linalowasumbua wapenzi wengi ni tabia ya kutoaminiana baina yao. Kila mmoja hudhani mwenzake anakwenda kinyume na hili, mara nyingi lawama huenda zaidi kwa wanaume kwani ni wepesi kuchepuka.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani