Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zimamoto wajitetea moto shule ya Bayi

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Pwani, limekiri kushindwa kufika kwa wakati kuzima moto ulioteketeza Shule ya Msingi ya Filbert Bayi iliyopo Mkuza, Kibaha, mkoani Pwani, kutokana na kuwa na magari mabovu, likiwamo lililoazimwa kutoka makao makuu Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zimamoto wajitetea ajali ya moto Dar

Siku tatu baada ya ajali ya moto kutokea  katika eneo la Kipunguni A jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu sita na nyumba kuteketeatu, Jeshi la Zimamoto limejitete kuwa lilishindwa kufika haraka kwenye tukio kwa sababu ya ubovu wa mawasiliano kati yao na wananchi.

 

10 years ago

CloudsFM

SHULE YA FILBERT BAYI ILIVYOTEKETEA KWA MOTO

SHULE ya msingi ya bingwa wa zamani wa dunia wa mbio za mita 1500, Filbert Bayi imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, imeelezwa.
Bayi akizungumza jana kwa njia ya simu kutoka Mkuza, Kibaha iliko shule niyo alisema kuwa, shule hiyo imeteketea kabisa kwa moto na hakuna kilichookolewa, lakini hakuna mwanafunzi aliyejeruhiwa.

Alisema kuwa gharama ya shule hiyo yenye wanafunzi 280 huku 69 wakiwa ni wa bweni, ni zaidi ya Sh milioni 700 na moto huo huenda ungedhibitiwa kama Zimamoto Pwani...

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza mabweni, madarasa Filbert Bayi

Wanafunzi 70 wa Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha, mkoani Pwani, wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya mabweni mawili ya shule hiyo kushika moto na kuungua kabisa.

 

10 years ago

GPL

ZIMAMOTO YAZUNGUMZIA FAMILIA ILIYOTEKETEA KWA MOTO

Inspekta  Puyo  Nzalayaimis  akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari (hawako pichani).…

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO

Katibu mkuu wa Wizara ya Tamisemi Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Serikali…

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la Zimamoto jijini Dar latoa mafunzo ya matumizi ya Mtungi wa kuzimia moto kwa wananchi

Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akitoa maelezo ya kutumia vifaa vya kuzimia moto vya huduma yakwanza kwa watumiaji wa Kivuko cha Magogoni jijini Dar es salaam tarehe 05/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto katika hatua ya awali.Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akimuongoza mmoja wa watumiaji wa kivuko cha MV...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA WAJIFUNZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala. Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala.
‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika wanafunzi...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA


MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani