Moto wateketeza mabweni, madarasa Filbert Bayi
Wanafunzi 70 wa Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha, mkoani Pwani, wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya mabweni mawili ya shule hiyo kushika moto na kuungua kabisa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM12 Nov
SHULE YA FILBERT BAYI ILIVYOTEKETEA KWA MOTO
SHULE ya msingi ya bingwa wa zamani wa dunia wa mbio za mita 1500, Filbert Bayi imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, imeelezwa.
Bayi akizungumza jana kwa njia ya simu kutoka Mkuza, Kibaha iliko shule niyo alisema kuwa, shule hiyo imeteketea kabisa kwa moto na hakuna kilichookolewa, lakini hakuna mwanafunzi aliyejeruhiwa.
Alisema kuwa gharama ya shule hiyo yenye wanafunzi 280 huku 69 wakiwa ni wa bweni, ni zaidi ya Sh milioni 700 na moto huo huenda ungedhibitiwa kama Zimamoto Pwani...
11 years ago
TheCitizen01 Jun
The Filbert Bayi spirit would help us greatly
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Filbert Bayi aishangaa Serikali
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Filbert Bayi Schools walia mzigo wa kodi
MKURUGENZI mkuu wa Shule za Filbert Bayi (Filbert Bayi Schools), Anna Bayi, amesema mzigo wa kodi wanazotakiwa kulipa wamiliki wa shule ni mzigo kwao na wazazi. Bayi aliyasema hayo juzi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Taasisi ya Filbert Bayi kumjenga msichana kijasiriamali
TAASISI ya Filbert Bayi ilianza kujiingiza katika masula ya elimu mnamo mwaka 1996, pale ilipoanzisha shule ya awali iliyokuwa na jumla ya wanafunzi saba. Akizungumza na mwandishi wa makala hii,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6IUF4cG87--ykkCXVveRo6GJ2RgCjT99evgZiRKLbJrsKDHlX1BarRFBleIzteY3mQh-Kt-D2lupnIA5bgJNbK/IMG20140723WA0002.jpg?width=650)
10 years ago
Habarileo13 Nov
Zimamoto wajitetea moto shule ya Bayi
JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Pwani, limekiri kushindwa kufika kwa wakati kuzima moto ulioteketeza Shule ya Msingi ya Filbert Bayi iliyopo Mkuza, Kibaha, mkoani Pwani, kutokana na kuwa na magari mabovu, likiwamo lililoazimwa kutoka makao makuu Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Moto wateketeza ghala Vingunguti
GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Moto wateketeza soko Mchikichini
NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...