Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zoezi la Uandikishaji wa Kaya Maskini Mpanda Mjini

 Shughuli za uandikishaji wa kaya maskini linaloendeshwa na TASAF chini ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika awamu ya tatu ya TASAF. TASAF ni mfuko ulio chini ya Ofisi ya Rais ambao umepewa jukumu la kupambana na umaskini. Hapa ni katika mtaa wa Tambukareli, kata ya Mpanda Hoteli. Zoezi hili linafanyika piakatika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya wilayaya Mlele.  Shughuli za uandikishaji wa kaya maskini linaloendeshwa na TASAF zikiendelea  wakati wa Zoezi la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni

SAM_0215

Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.

SAM_0229

Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...

 

5 years ago

Michuzi

BL 12.4 ZATOLEWA KWA KAYA MASKINI TUNDURU


Afisa Mwezeshaji wa mfuko wa Maendeleo ya jamii Nchini(TASAF)wilaya  ya Tunduru Mkoani Ruvuma Avelinius Rwegasira akiongea jana na wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini katika kijiji cha Tanesco Tunduru mjini wakati wa malipo kwa walengwa hao.Baadhi ya walengwa ambao ni wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini Tasaf kijiji cha Tanesco wilayani Tunduru wakisubiri...

 

10 years ago

Dewji Blog

TASAF yagawa bil 7.1/- kwa kaya maskini

DSC00251

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone (anayeangalia picha) akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na maafisa wa TASAF kutoka makao makuu na wa mkoa wa Singida.

DSC00245

DSC00265

Naibu Katibu mkuu ofisi ya rais Zuzana Mlawi (wa kwanza kushoto) akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa pamoja kati ya Mkuu wa mkoa na viongozi wa TASAF.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Singida, umetumia zaidi ya shilingi 7.1 bilioni kuhawilisha  kaya maskini 40,156...

 

10 years ago

Habarileo

Wanasiasa waonywa mpango wa kunusuru kaya maskini

Said Meck Sadiki VIONGOZI na wanasiasa wameaswa kutotumia mpango wa kunusuru kaya masikini wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kuingiza majina ya watu ambao si walengwa.

 

9 years ago

Habarileo

Aonya wavurugaji mpango wa kusaidia kaya maskini

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, ameonya watendaji ngazi ya mkoa na mamlaka za serikali za mitaa kuwa watakaodiriki kuwakosesha fedha wananchi waliotimiza vigezo katika mpango wa kunusuru kaya maskini watawajibishwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TASAF yajizatiti kuzijenga kiuchumi kaya maskini

SERIKALI ina sera na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini. Moja ya sera hizo ni mkakati wa taifa wa kupunguza umaskini. Mkakati huo umeiwezesha serikali kupata mafanikio mengi ikiwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.

Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Zoezi la Uandikishaji kwa BVR lisitishwe

Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuwatambua wapigakura kwa alama za vidole, mfumo ambao huhifadhi taarifa zote muhimu za mpigakura hivyo kuondosha uwezekano wa mtu kupiga kura mara mbili.

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAFANYA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU

 Mmoja wa maafisa wa TASAF  Hamis kikwate aliyeketi mstari wa mbele akifuatilia kazi ya utambuzi wa kaya maskini katika moja ya walengwa wa mpango huo wilayani Maswa. kazi ya utambuzi wa kaya maskini inaendelea kwa kasi katika maeneo ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Pichani ni baadhi ya Watoto wakiwa na furaha tupu baada ya kupata maelezo juu ya mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa.Baadhi ya walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa wakiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani