Zoezi la usafi 9 Disemba la Maguful laongeza hamasa kwa wananchi
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto imesema zoezi la usafi lililofanyika nchi nzima Desemba 9 mwaka huu ikiwa ni agizo la Rais Magufuli la kuadhimsiha sherehe za Uhuru kwa kufanya usafi, limeibua hisia kubwa kwa watanzani katika kuhamasika kutunza mazingira.
Wizara imesema kuwa zoezi hilo limepunguza kasi ya kipindupindu na jamii imetambua umuhimu wa usafi hasa maeneo ya vijijini ambako wengi hudhani suala la usafi linafanyika mjini pekee.
Desemba 9 mwaka huu ilikuwa ni siku...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
Watumishi wa Umma watakiwa kushiriki zoezi la usafi disemba 9

Serikali imewaagiza watumishi wa umma kushiriki zoezi la usafi wa nchi litakalofanyika tarehe 9 disemba mwaka huu katika maeneo yao wanaoishi.
Agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw Assah Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijin Dar es salaam na kusema kwamba Watumishi wa Umma wanatakiwa wabaki nyumbani na kufanya usafi katika maeneo yao na yale watakayo pangiwa na viongozi wa mitaa wanayoishi.
“Kila mwananchi ahakikishe...
9 years ago
Michuzi
UTARATIBU WA KUSHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI SIKU YA TAREHE 9 DISEMBA, 2015 MKOA WA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alitoa agizo la kumtaka kila mtu kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Uhuru tarehe 9 Disemba, 2015 kwa kushiriki zoezi la kufanya usafi wa mazingira. Katika Mkoa wa Dodoma, zoezi hilo litahusisha kazi za usafi wa makazi na maeneo ya shughuli mbalimbali, kufagia barabara za lami na vumbi, kufyeka nyasi kandokando mwa barabara na katika maeneo ya wazi na jamii, kuokota takataka (mifuko ya Rambo) na kuzibua mitaro ya maji ya...
9 years ago
Michuzi
ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA NCHI NZIMA DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI


9 years ago
Michuzi
RC Makalla awashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kufanya usafi
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla, amewapongeza wakazi na wananchi wake katika mkoa huo kwa kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli la kufanya usafi na kutunza mazingira katika siku ya Uhuru, 9 Desemba iliyoadhimishwa jana nchini kote.

9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Waziri Mkuu ataka zoezi la usafi liwe endelevu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Meck Sadiki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond...
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Waziri Mkuu aitaka TPA kupitia upya zoezi la fidia kwa wananchi wa Kigoma
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari. (Picha na Emmanuel Senny).
Wananchi wa Kata ya kibirizi mkoani Kigoma wakiwa na mabango yaliyolenga kumpa ujumbe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu fidia za ujenzi wa bandari.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akikagua soko jipya la samaki lililoko kata ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji baada ya...
9 years ago
Michuzi26 Nov
Zoezi la Usafi wa Mazingira Kuwa Endelevu Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadiki amesema zoezi la usafi wa mazingira litakalofanyika siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, litakuwa ni endelevu kwa mkoa wa Dar es Salaam hata baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo.
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano. Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliagiza kuwa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara mwaka huu yatumike kwa kufanya usafi wa...
9 years ago
Michuzi
WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MOSHI WAJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAFI.


