Zungu: Ninawapuuza wasaka tonge Ilala
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), amesema hana muda wa kulumbana na wanasiasa wanaotafuta ubunge kwa kutumia jina lake hasa kwa Ilala.
Amesema hatarudi nyuma kuwatumikia wapiga kura wake na sasa amejikita kuhakikisha anasimamia kutekelezaji Ilani ya Uchaguzi wa CCM na si kubishana na watu wanaotafuta ubunge kwa kutumia mitandao ya jamii ikiwamo facebook.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Zungu alisema kwa siku kadhaa watu watu wasioitakia mema Ilala...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Wasaka tonge wameliharibu Bunge Maalumu
KABLA ya kuanza kwa vikao vya Bunge Maalumu, niliandika makala iliyokuwa na kichwa; ‘Siioni Katiba Mpya, nasubiri Ngumi’. Mimi si mtabiri lakini kutokana na kuanza vibaya kwa mchakato ule kamwe...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Zungu atangazwa Mbunge Ilala
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Ilala kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, ametetea kiti chake cha ubunge baada ya kutangazwa mshindi.
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Zungu achangiwa fomu ya ubunge Ilala
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
SHIRIKISHO la wanafunzi wa Elimu ya Juu la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, limesema linaridhishwa na kazi ya utekelezaji wa ilani wa Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM).
Kutokana na hali hiyo wanafunzi hao waliendesha harambee na kukusanya Sh 75,000 ambazo walimkabidhi mbunge huyo kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akizungumza juzi katika semina ya itikadi ya kujadili utekelezaji wa ilani...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Atangaza nia kumng’oa Zungu Ilala
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikihitimisha mchakato wa kumpata mgombea urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kada wa chama hicho ametangaza kumuondoa mbunge wa sasa wa Jimbo la Ilala, Dar es Salaam, Iddi Azzan Zungu.
Kada huyo mwenye Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara aliyoipata nchini Uingereza, Waziri Kindamba, amesema hana nia ya kukosoa kazi zilizofanywa na Zungu bali anataka kuleta mabadiliko, hususan katika...
5 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI ZUNGU WILAYANI ILALA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia mojawapo ya mabwawa ya majitaka yanayodaiwa na wananchi wa eneo la Buguruni Kisiwani kutokana na harufu mbaya na mazalia ya mbu na kusababisha magonjwa.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akikatiza juu ya daraja la kuvuka maji yanayotiririka kutoka viwandani eneo la Buguruni.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe....
5 years ago
MichuziWAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA ILALA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UCHAFUZI WA MFEREJI WA MAJI YA MVUA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. Mussa Azzan Zungu akiwa pamoja na Wadau mbalimbali wakikagua mfereji wa kupitisha maji ya mvua uliopo mtaa wa Shaurimoyo katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mfereji huo wa kupitisha maji ya mvua ukionekana jinsi ulivyoharibika kutokana na kutotunzwa vizuri na Wananchi wa Mtaa wa Shaurimoyo.
************************
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu...
11 years ago
Habarileo27 Dec
Mfumo ‘wapoka tonge’ mawaziri
MFUMO wa usimamizi na utekelezaji wa shughuli za mawaziri nchini, umedaiwa kuhusika kuwaandalia mazingira ya kupoteza nyadhifa zao mara kwa mara.
11 years ago
Habarileo06 May
Daladala 1,800 kuporwa tonge
DALADALA 1,800 zinazofanya safari zake kati ya Kimara na Kivukoni, zinatarajiwa kuondolewa katika barabara hiyo yenye wateja wengi, baada ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (Dart).
10 years ago
Habarileo31 Jan
Watendaji wa Hazina wanyang’anywa tonge
SERIKALI imezuia watendaji wote wa Msajili wa Hazina, kuingia katika bodi yoyote ya mashirika ya umma kuepuka mgongano wa maslahi.