Wasaka tonge wameliharibu Bunge Maalumu
KABLA ya kuanza kwa vikao vya Bunge Maalumu, niliandika makala iliyokuwa na kichwa; ‘Siioni Katiba Mpya, nasubiri Ngumi’. Mimi si mtabiri lakini kutokana na kuanza vibaya kwa mchakato ule kamwe...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 May
Zungu: Ninawapuuza wasaka tonge Ilala
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), amesema hana muda wa kulumbana na wanasiasa wanaotafuta ubunge kwa kutumia jina lake hasa kwa Ilala.
Amesema hatarudi nyuma kuwatumikia wapiga kura wake na sasa amejikita kuhakikisha anasimamia kutekelezaji Ilani ya Uchaguzi wa CCM na si kubishana na watu wanaotafuta ubunge kwa kutumia mitandao ya jamii ikiwamo facebook.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Zungu alisema kwa siku kadhaa watu watu wasioitakia mema Ilala...
10 years ago
TheCitizen20 Apr
Wabunge watano wa viti maalumu wasaka majimbo
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Bunge Maalumu vuluvulu
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameendelea kuvutana juu ya kutumika kwa kura ya wazi au ya siri katika maamuzi watakayoyafanya wakati wa kupitia rasimu ya Katiba mpya. Mvutano huo...
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba
11 years ago
Habarileo12 Mar
Kanuni Bunge Maalumu zapita
HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba, limepitisha rasimu ya Kanuni zitakazotumika kuongoza majadiliano, pamoja na vifungu ambavyo havikutaja aina ya upigaji kura kama utakuwa wa wazi au wa siri. Hata hivyo, wakati Bunge likipitisha azimio hilo, baadhi ya wajumbe wamelaani kitendo cha Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho, kuridhia kupitishwa kwa ‘kanuni nusu’ za Bunge kwa maelezo kuwa jambo hilo halitaleta muafaka.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Makatibu Bunge Maalumu waapishwa
YAHYA Hamis Hamad kutoka Zanzibar ndiye Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba. Katibu huyo jana aliapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo huku akiahidi kufanya kazi yake kwa weledi mkubwa na kwa kufuata kanuni za Bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi09 Aug
Lipualipua Kamati za Bunge Maalumu
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Bunge Maalumu la Katiba kusambaratika?
RAIS wangu wahenga walisema, “Kinachowezekana leo kisingoje kesho”. Inaaminika kuwa akili zetu za leo hazijawahi kuwa kubwa kufikia ukubwa wa akili walizokuwanazo wahenga wetu. Ndiyo maana mpaka leo tunafikiri huku...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Bunge Maalumu giza nene