Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


15 wapofuka baada ya upasuaji India

Maafisa wa utawala nchini India,a wanafanya uchunguzi kufuatia madai ya wagonjwa 15 kupofuka baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutoa ugoinjwa ujulikanao kama ''mtoto wa Macho' au Cataract bila malipo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HALI YA PELE YAZIDI KUIMARIKA BAADA YA UPASUAJI WA TEZI DUME

AFYA ya aliyekuwa staa wa timu ya taifa ya Brazil, Pele inazidi kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume katika Hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo nchini Brazil.  Hospitali hiyo imeeleza kuwa Pele mwenye umri wa miaka 74 anaendelea vizuri baada ya upasuaji huo uliofanyika wiki hii. Pele aliwahi kulazwa katika hospitali hiyo takriban miezi sita iliyopita kwa upasuaji wa dharura ili kuondoa mawe katika figo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Upasuaji wa kubadili Maumbile Uturuki: Mwanamke aingiwa na hofu baada ya mchakato alioupitia

Kimberley Sadd anahitaji kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile na anataka kuonya wengine dhidi ya kupata huduma katika nchi zingine kwa gharama ya chini

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA TU BAADA YA KUTUA TOKA MAREKANI, ASEMA ALIFANYIWA UPASUAJI WA SARATANI YA TEZI DUME


Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waandishi wa habari uwanja wa ndege leo Jumamosi Novemba 29, 2014 mara tu baada ya kutua toka Marekani alipokuwa amekwenda kwa ajili ya upasuaji wa saratani ya tezi dume. (picha kwa hisani ya Michuzi)

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Wanahabari na kuwataarifu kwamba alichofanyia ni upasuaji  wa saratani ya tezi dume  na hili alilijua mapema kabla ya kuja nchini Marekani na lilikua si jambo rahisi kulielezea lakini nilikua sina budi kumweleza mke wangu wananagu...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Afya ya Mugabe yazidi kuwa utata baada ya kutaka kuanguka hadharani India

mugabe-robert9Maafisa wa nchini Zimbabwe wamekanusha tetesi za kuwa afya ya Rais Robert Mugabe imezidi kuwa mgogoro baada ya Jumamosi kukaribia kuanguka hadharani. Mugabe alionekana akipepesuka wakati alipokuwa akipanda jukwaani katika mkutano wa India na Afrika wiki hii. Video zilizosambaa mtandaoni zinamuonesha waziri mkuu wa India Narendra Modi akimsaidia kumshika mkono Mugabe mwenye miaka 91. Msemaji […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha

Kaka na masemaji wa familia Dkt Oburu Odinga azungumza na BBC kuhusu afya ya Raila Odinga.

 

10 years ago

Bongo5

Ndege ya India iliyokuwa na abiria 280 yashuka futi 5000 angani baada ya rubani kusinzia

Mamlaka ya anga nchini India inachunguza tukio la hatari lililotokea Agosti 8, baada ya ndege ya Jet Airways Boeing 777-300 iliposhuka angani kwa zaidi ya futi 5000 (mita 1500) kutoka kwenye urefu waliopangiwa kuruka baada ya rubani wake kusinzia. Tukio hilo lilitokea wakati ndege hiyo ikifanya safari kutoka Mumbai, India kwenda Brussels, Ubelgiji. Times of […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India

01

Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).

                                                 Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar                                                         

Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS NA WAZIRI MKUU WA INDIA WAMPOKEA RASMI RAIS KIKWETE IKULU YA INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni 19, 2015. Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee wakiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani