Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


2 wauawa kwenye Ghasia Ukraine

Watu wawili wameripotiwa kuuwawa katika mji mkuu wa Ukraine Kiev katika makabiliano yaliyozuka upya kati ya polisi na waandamanaji wanaopigania demokrasia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Vikwazo kwa viongozi wa ghasia Ukraine

Mawaziri wa mambo ya nje wa Muungano wa Ulaya, wameamua kuwawekea vikwazo viongozi wa ghasia zinazoendelea nchini Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kerry ashutumu Urusi kwa ghasia Ukraine

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amelaumu Urusi kwa kuchochea mapigano Masahriki mwa Ukraine kuliko makundi ya kjujitenga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu sita wauawa katika ghasia Somali

Takriban watu sita wameuawa katika ghasia katikati mwa Somali.

 

5 years ago

Michuzi

Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi

Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.

Vyombo vya dola nchini humo vimeripoti kuwa, watu hao waliuawa katika mji mkuu Bujumbura, na kwamba maafisa wawili wa polisi wameuawa pia katika ghasia hizo za kabla ya uchaguzi.

Vyombo vya usalama nchini Burundi vimesema kuwa, vimewatia mbaroni watu sita wanaohusishwa na uhalifu huo wa kabla ya uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu....

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 20 wauawa mgogoro wa Ukraine

Zaidi ya watu 20 wamekufa katika vurugu mashariki mwa Ukraine wakati mkutano wa viongozi ukitarajiwa kuanza Jumatano

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji 30 wauawa nchini Ukraine

Takriban wapiganaji 30 wanaounga mkono Urusi,wameuawa katika mapigano yaliyozuka katika uwanja wa ndege mjini Donetsk,Mashariki mwa Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

20 wajeruhiwa kwenye ghasia DRC

Watu ishirini wamejeruhiwa baada ya polisi kufyatua risasi katika mji wa Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghasia kwenye kura ya maamuzi Misri

Wafuasi wa Rais aliyeondolewa mamlakani Mohammed Morsi walizua vurugu na hata kusababisha vifo kadhaa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine hali sio hali-22 wauawa

Angalau watu 22 wameuawa katika ghasia zilizozuka upya kati ya waandamanaji na polisi mjini Kiev Ukraine, baada ya makubaliano yaliyofikiwa kutibuka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani