40 YA GURUMO...
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Lt3F7jZ-eFQK4oXm*glC83SSZORlyFLvnXtiCrMpbBHNoxzHyVLHLYVC0EHK8VOSM2OrUoUEA-m6*k-L6g*PwLF/gurum.jpg)
Stori: Waandishi wetu UNAFIKI kwa mastaa wa Bongo unaendelea kujidhihirisha ambapo safari hii wamekacha dua ya arobaini ya nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Gurumo, shughuli iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Mabibo, Dar, Jumamosi iliyopita. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria 40 Gurumo. Waandishi wetu walishuhudia wanamuziki wa Msondo Ngoma, Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka na wengineo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen16 Apr
Gurumo the Great
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Kwaheri Maalim Gurumo
NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na umri wa miaka 73. Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Dk. Bilal kumzika Gurumo
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-KFr4HCt4FrU/U00C6jYnYlI/AAAAAAAAFw8/tYy7k3DRv0Y/s1600/9131bf04c47511e3ae5c0002c9e12d88_8.jpg?width=650)
MZEE GURUMO AZIKWA
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Gurumo afariki dunia
11 years ago
GPLR.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO
11 years ago
GPLRATIBA YA MAZISHI YA MAALIM GURUMO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3A8rUyA9jKORnOSjWHuJfAab2nIQ8lBloeWs3CeIUIEnoZ0sHzYrI75vMiWORweyPVvxMdLbyQuBM0CaWUHVOwxGy7R7j3G*/FRONTAMANI.jpg)
GARI LA GURUMO LAINGIA SOKONI
11 years ago
GPLWASANII WAINGIA MITINI 40 YA GURUMO