Afrika kuwa huru kiuchumi isipotegemea nje
Mwenyekiti wa Kituo cha Hifadhi ya Fikra za Mwalimu Nyerere [Kavazi ya Mwalimu Nyerere] Profesa Issa Shivji amesema nchi za Bara la Afrika bado zinahitaji itikadi ya ukombozi.
Amesema baada ya kupitia unyonyaji na ukandamizaji wa muda mrefu, uhuru pekee utakamilika endapo nchi za kiafrika zitajitegemea kiuchumi bila kuathiriwa na nguvu kutoka nje.
Katika mdahalo Jijini Dar es salaam wa kujadili fikra na harakati za Mwalimu Nyerere za kuwaunganisha na kuwakomboa waAfrika kiuchumi, kisiasa na...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Mar
‘Migogoro yaathiri Afrika kiuchumi’
IKIWA migogoro inayojitokeza mara kwa mara itaachwa iendelee, kuna uwezekano mkubwa wa bara zima la Afrika kuathirika kiuchumi, imeelezwa. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), Profesa Eginald Mihanjo wakati akitoa mada katika mkutano wa vyama vyenye mrengo wa ujamaa, ulioanza jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Zao la muhogo linavyoweza kuwa na manufaa kiuchumi
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Tanzania, Afrika Kusini kushirikiana kiuchumi
NCHI za Tanzania na Afrika Kusini zimedhamiria kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kwa faida ya wananchi wa pande zote mbili. Juhudi za karibuni kuimarisha mahusiano hayo zilishuhudiwa wiki hii...
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mandela alileta mapinduzi ya kiuchumi Afrika ya Kusini
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Coronavirus: Athari za kiuchumi za mashirika ya ndege Afrika
10 years ago
Habarileo23 Jun
‘Uchaguzi Mkuu kuwa huru, haki’
SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Oktoba utakuwa huru na wa haki, kwa sababu imejipanga kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za kupiga kura zinawekwa wazi na kufuatwa na kila mtu.
10 years ago
Mwananchi13 Aug
MARAIS WASTAAFU : Afrika ikiungana itaharakisha mapinduzi kiuchumi
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Dar es Salaam: Linalotisha Afrika kwa kasi kiuchumi
10 years ago
Mwananchi30 Apr
Badwel aachiwa huru, atakiwa kuwa makini