Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zao la muhogo linavyoweza kuwa na manufaa kiuchumi

Kadri siku zinavyozidi kwenda kumekuwepo juhudi za makusudi za uendelezaji wa zao la muhogo nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Faida ya zao la muhogo kiuchumi

Zao la muhogo kwa wananchi walio wengi linachukuliwa kama la kinga dhidi ya njaa.

 

5 years ago

StarTV

Sikonge waaswa kutodharau zao za muhogo.

Wakazi Wilayani Sikonge, wameaswa kuondokana na dhana kuwa mazao ya muhogo na mtama ni kwa ajili ya watu maskini au wenye njaa. Wameelezwa kuwa mazao hayo ni mazao mazuri kama mengine lakini yakiwa na faida ya kuhimili ukame na ndio maana yanahimizwa kulimwa. Zao la muhogo ndio zao linaloweza kuliwa katika hali tofauti ikiwemo baada …

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WANATAKA USIMAMIZI WA FEDHA ZAO KATIKA KUWALETEA MAENDELEO YA KIUCHUMI -CAG

 Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Jasper Mero akizungumza mkutano wa kupanga mikakati  ya Fedha  katika ofisi ya mdhibiti wa fedha za serikali CAG, leo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wadau wa wadau wa kuandaa mikakati ya  Ofisi  ya CAG wakimsikiliza Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Jasper Mero mkutano wa kupanga mikakati  ya Fedha  katika ofisi ya mdhibiti wa fedha za serikali CAG, leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

 

9 years ago

StarTV

Afrika kuwa huru kiuchumi isipotegemea nje

Mwenyekiti wa Kituo cha Hifadhi ya Fikra za Mwalimu Nyerere [Kavazi ya Mwalimu Nyerere] Profesa Issa Shivji amesema nchi za Bara la Afrika bado zinahitaji itikadi ya ukombozi.

Amesema baada ya kupitia unyonyaji na ukandamizaji wa muda mrefu, uhuru pekee utakamilika endapo nchi za kiafrika zitajitegemea kiuchumi bila kuathiriwa na nguvu kutoka nje.

Katika mdahalo Jijini Dar es salaam wa kujadili fikra na harakati za Mwalimu Nyerere za kuwaunganisha na kuwakomboa waAfrika kiuchumi, kisiasa na...

 

9 years ago

Bongo5

Roma adai tangazo kuwa wimbo wake umefungiwa inamwathiri kiuchumi, aiandikia barua BASATA

Roma amedai kuwa taarifa zilizotolewa kuwa wimbo wake Viva Roma umefungiwa, zimemuathiri kiuchumi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni, Roma alidai kuwa hiyo ndio sababu iliyomfanya atumie wanasheria kuiandikia barua BASATA ili imweleze sababu za kuufungia wimbo wake. Bado BASATA haijaijibu barua yake. “Ni kweli hizi taarifa zilikuwa zinaathiri career […]

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA: Zao la Karafuu laweza kuwa uti wa mgongo wa Uchumi Zanzibar

Na Pili Khatib na Zuhura Omar, MUM 
 Kuimarisha Zao la Karafuu ni sawa na kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya nchi, jitihada za Wadau ni muihimu ili kufika lengo la Serikali la kuifanya Sekta ya Zao la Karafuu kuwa uti wa mgongo wa Uchumi liweze kufikiwa.
Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Karafuu kwa Maendeleo ya Uchumi Serikali imefanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa Wakulima na Taifa kwa jumla.
Katika utekelezaji wa Mageuzi hayo yaliyoanza mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WASHAURIWA KUTUMIA VYEMA KALAMU ZAO KATIKA USTAWI WA TAIFA NA KUWA WAZALENDO

WAANDISHI wa habari nchini wameshauriwa kuwa wazalendo kwa taifa kwa kutumia vyema kalamu zao, midomo yao na vyombo vyao vya habari kwa kuhabarisha umma vyema bila kuharibu uelekeo wa ustawi wa taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha wakati akifungua semina kwa wanahabari  kuhusiana na habari za Uchumi na Fedha Mkurugenzi wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) tawi la Arusha Charles Yamo amesema kuwa umuhimu wa vyombo vya habari katika ujenzi wa taifa ni mkubwa sana hivyo ni...

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aahidi kupandisha bei ya zao la mwani pindipo akichaguliwa kuwa Rais



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Tumbe alipotembelea eneo hilo.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wakulima wa zao la mwani Zanzibar kuwa atapandisha bei ya zao hilo mara moja, iwap atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Maalim Seif alisema bei wanayolipwa wakulima ya shilingi 700 na 800 hivi sasa ni ndogo na hailingani na...

 

11 years ago

Habarileo

Muhogo hatarini kutoweka Dodoma

ZAO la muhogo ambalo kwa miaka mingi limekuwa mkombozi kwa wanavijiji wengi mkoani Dodoma kama zao la kinga ya njaa liko hatarini kutoweka kwa sababu ya kukumbwa na magonjwa hatari ya batobato na wadudu waitwao vidung’ata na vidumba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani