Sikonge waaswa kutodharau zao za muhogo.
Wakazi Wilayani Sikonge, wameaswa kuondokana na dhana kuwa mazao ya muhogo na mtama ni kwa ajili ya watu maskini au wenye njaa. Wameelezwa kuwa mazao hayo ni mazao mazuri kama mengine lakini yakiwa na faida ya kuhimili ukame na ndio maana yanahimizwa kulimwa. Zao la muhogo ndio zao linaloweza kuliwa katika hali tofauti ikiwemo baada …
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Faida ya zao la muhogo kiuchumi
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Zao la muhogo linavyoweza kuwa na manufaa kiuchumi
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.
Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.
loans online sc ...
10 years ago
StarTV28 Dec
Wajasiriamali waaswa kuendesha biashara zao kitaalamu.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Wajasiriamali nchini wametakiwa kujifunza mbinu za kuendesha biashara zao kitaalamu ili kukuza mitaji.
Hatua hiyo itazijafanya biashara hizo kuwa endelevu na zenye tija.
Ni katika uzinduzi wa kitabu cha Mjasiriamali kinacholenga kutoa elimu itakayowasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kukuza mitaji ya biashara zao kitaalamu badala ya kuendesha biashara za kuiga ama kufuata mkumbo ambazo mara nyingi si endelevu.
Mtunzi wa kitabu hicho mjasiriamali mdogo...
9 years ago
StarTV18 Nov
Wafanyabiashara waaswa kuziwekea mihuri bidhaa zao
Wizara ya Viwanda na Biashara imewataka wafanyabiashara kuanza utaratibu wa kuweka mihuri katika bidhaa zao ili kudhibiti utengenezwaji wa bidhaa bandia ambazo hazina viwango vya kitaifa na kimataifa.
Hatua hiyo itasaidia kuimarisha soko la nje kutokana na bidhaa na malighafi za Tanzania kuwa na ubora unaokidhi mahitaji ya masoko mbalimbali duniani.
Sekta ya viwanda na biashara inatajwa kuwa sekta ambayo itaiwezesha Tanzania kuimarika kiuchumi kwa maendeleo ya taifa, Wizara ya Viwanda...
9 years ago
StarTV24 Dec
Wazazi waaswa kutatua tofauti zao ili kupunguza ongezeko La Watoto Wa Mitaani
Wakati miji mingi nchini ikiendelea kusongwa na ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu, wazazi wana wajibu wa kutatua tofauti zao ili kupunguza na hatimaye kuondoa tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Ugomvi unaosababishwa na ulevi baina ya wanandoa ni aina nyingine ya changamoto zizomfanya mtoto kukimbilia mjini na hivyo kuongeza mzigo kwa taasisi zinazojihusisha na malezi ya watoto.
Malezi ya mtoto yapo mikono mwa wazazi, lakini kwa suala la elimu,...
9 years ago
StarTV13 Nov
Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.
Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi. Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.
Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Maafisa Habari na Mawasiliano waaswa kutoa taarifa zinazohusu taasisi zao kwa wakati
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu...