Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI: BASI LAGONGA COASTER TUNDUMA

Wananchi wakitoa msaada kwa baadhi ya abiria waliokuwa wamenasa katika Coaster lililogongwa na basi. Wananchi wakiwa eneo la Sogea, Tunduma ilipotokea ajali ya basi na Coaster. WATU kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni hii. Coster lilikuwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Baba Levo apata ajali akiwa ndani ya basi la AM lililogongana na Coaster

Msanii wa kundi la 2mbili wa Town, Baba Levo amepata ajali baada ya basi la kampuni ya AM Coach alilokuwa amepanda kugongana na Coaster. Kwa mujibu wa Millardayo.com, ajali hiyo imetokea kwenye pori la kijiji cha Uluwila ambapo alikuwa anatokea Tabora kwenda Mpanda. Inadaiwa kuwa dereva wa Coaster alikuwa akikwepa barabara mbovu na hivyo kuhamia […]

 

10 years ago

GPL

BASI LAGONGA TRENI NA KUUA IFAKARA

Basi la Super Aljabir baada ya ajali. Basi hilo likiwa limepinduka.…

 

11 years ago

GPL

BASI LA NBS LAGONGA KIMARA DAR

Muonekano wa mbele wa basi la NBS T719 AZC baada ya kugonga basi la Princes Muro T892 BUR lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza eneo la Kimara. Basi la Princes Muro T892 BUR likitokea Dar kwenda Mwanza limegongwa nyuma na basi la NBS T719 AZC likiwa safarini kuelekea Tabora eneo la Kimara leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MIZIGO LAGONGA BASI LA ABIRIA TABATA MATUMBI JIJINI DAR

Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna gari la abilia lilivyoalibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scaniakwa picha zaidi bofya soma zaidiDamu ambazo ni kwa wale abiria walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
 Gari hilo likiwa limepasuka vioo vyote na kuharibika sehemu ya mbele pamoja na kutoka...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

10 years ago

StarTV

Watu sita wafariki, wengine kujeruhiwa katika ajali Tunduma.

Na Amina Said,

Mbeya.

 

Watu sita wamefariki papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea leo alasiri eneo la mlima Chengula Tunduma mkoani Mbeya.

 

Ajali hiyo imehusisha  magari matatu, basi ndogo aina ya Toyota costa T 203 ARZ iliyogongana uso kwa uso  na  basi la kampuni ya Shalom express  wakati costa hiyo ikijaribu kulipita lori aina ya TATA mali ya Usangu Logistic lenye namba T 789 AZL.

 

Majeruhi wamepelekwa kwenye hospitali ya serikali iliyopo Vwawa...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI BUNDA

 Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda likiwa limepata ajali mchana huu eneo la Bitaraguru, Bunda mkoani Mara. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.…

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani