Ajali ya Iringa kutua bungeni
GRACE SHITUNDU, DAR NA RAYMOND MINJA, IRINGA
MBUNGE wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ametangaza azma yake ya kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusu matukio ya ajali nchini ikiwamo iliyotokea juzi mkoani Iringa.
Mbatia amesema lengo la kuwasilisha hoja hiyo ni kuhakikisha watendaji waliosababisha ajali hiyo kwa namna yoyote wanawajibishwa na kufikishwa mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, alisema mashuhuda wa ajali wamesema chanzo ni shimo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mama Maria, Shadia kutua bungeni
WAKE wa waasisi wa Tanganyika na Zanzibar, Mama Maria Nyerere na Mama Shadia Karume ni miongoni mwa wageni mashuhuri wa kitaifa watakaohudhuria uzinduzi wa Bunge Maalumu la Katiba. Uzinduzi huo...
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Ajali ya basi yaua 42 Iringa
WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Ajali za barabarani zaongezeka Iringa
TAKWIMU zinaonyesha kuwepo kwa ongezeko la ajali za barabarani mara saba zaidi zinazohusisha pikipiki Mkoa wa Iringa kati ya Januari 1 hadi Machi 31 ikilinganishwa na miezi kama hii mwaka...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali yaua 12 Iringa, 28 taabani
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa
Taswira kutoka eneo la ajali.
Takribani watu 12 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la New Force kupata ajali leo eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam na limepata ajali mchana huu.
Jitihada za kuondoa miili na kusafirisha majeruhi kuwapeleka hospitali zinaendelea.
10 years ago
VijimamboABIRIA 42 KATI YA 67 WAFA AJALI YA IRINGA
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Iringa
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Ajali hiyo ilitokea jana wilayani hapa kwa kuhusisha basi hilo lenye namba za usajili T 782 ACR linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es salaam ambalo lilipata ajali asubuhi katika eneo la Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa.
Basi hilo lililokuwa likisafiri kutokea Njombe kuelekea Dar es Salaam liligongana na lori lenye namba za usajilli T 718...
9 years ago
GPLWAWILI WAFARIKI KATIKA AJALI IRINGA
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Mbatia aitupia lawama Serikali ajali ya Iringa