Ajali za moto zawakumba watoto 308
WATOTO 308 wamefikishwa katika Hospitali ya mkoa wa Mwanza, Sekou Toure wakiwa wameungua moto. Idadi hiyo ni katika kipindi cha mwaka mmoja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Kila wiki watoto 10 hulazwa MNH kwa ajali ya moto
Veronica Romwald na Mwantumu Saadi, Dar es Salaam
MATUKIO ya watoto kuungua moto yamekuwa yakijitokeza na kuripotiwa mara kwa mara katika maeneo tofauti nchini.
Unaweza ukajiuliza na pengine kushangazwa kwamba inakuwaje mtoto wa mwezi mmoja anaungua ingawaje bado hajaanza hata kujongea (kusogea kutoka eneo moja kwenda jingine).
Sababu kuu inayochangia kutokea kwa hali hiyo inatajwa kuwa ni uzembe wa baadhi ya wazazi na walezi kwa kukosa umakini katika kuwalinda watoto dhidi ya hatari ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6QekoQS4LaE/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OBVF16y-PPLHWGK3mCTicjAecCWIADP9jgZMA2NcpUAzs-3sW7m2-29ll0wpjH13o4sq52HfJY7V4avOwRhHy7Gkl2BlVdHG/backrisasi.jpg)
AJALI YA MOTO KICHANGA CHAOKOA FAMILIA!
11 years ago
Habarileo15 Jan
Waathirika wa ajali ya moto Pemba wasaidiwa
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba , Dadi Faki Dadi, amezipongeza taasisi za Serikali na watu binafsi kwa kusaidia watu waliopatwa na ajali ya nyumba zao kuteketea kwa moto huko Pemba. Dadi alitoa kauli hiyo wakati akipokea bidhaa mbalimbali za vyakula na mchele, unga wa ngano pamoja na sukari vikiwa na thamani ya Sh milioni 5 kutoka kwa uongozi wa Shirika la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZSTC).
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Zimamoto wajitetea ajali ya moto Dar
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9tux4yzkHxE/default.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Balozi wa CCM anusurika katika ajali ya moto
Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Singida, Hamisi Nguli (wa pili kulia), akimpa pole balozi na mjumbe wa kamati ya siasa ya mtaa wa Mwenge mjini Singida, Tatu Juma Mohammed (kushoto) kwa nyumba yake kuungua moto na kuteketeza baadhi ya mali.Wa kwanza kulia ni katibu wa uchumi na fedha wa CCM jimbo la Singida mjini.
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa jimbo la Singida mjini, Hassani Mazala akiwa na katibu CCM manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete, nyumbani kwa balozi na mjumbe wa kamati...
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto
NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM
ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto ikiwa baharini.
Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...
10 years ago
Habarileo14 Apr
Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja
MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.