Ajira zitakazochukuliwa na roboti
Je, Teknolojia imekuwa ikichukua kazi za mikono kwa miaka kadhaa sasa?Lakini ni kazi gani ambazo roboti itazinyakua katika miaka ya baadaye.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Roboti zapata ajira mgahawani China
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya wafanyakazi kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Roboti kupunguza foleni D’ Salaam
Matumizi ya roboti katika kuongoza magari imeelezwa kwamba inaweza kusaidia kukabiliana na tatizo la foleni za magari Jijini Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Roboti zasimamisha magari DRC
Je roboti kubwa zenye sauti kubwa na mikono mikubwa zinaweza kuwa jibu la kupunguza msongamanao wa magari barabarani?
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Roboti yamuua mfanyikazi wa Volkswagen
Mfanyikazi mmoja katika kiwanda cha kutengeza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani amefariki baada ya roboti kum'beba na kumuangusha katika chuma
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Roboti kuchukua kazi za raia Uingereza
Zaidi ya thuluthi moja ya ajira nchini Uingereza ziko katika hatari ya kuchukuliwa na roboti katika kipindi cha miaka 20 ijayo.
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Roboti yahudhuria masomo kama mwanafunzi
Mwanafunzi Cole ,chini Marekani alipata ajali ya gari na kuumia vibaya na sasa anahudhuria masomo kwa msaada wa njia ya roboti.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Roboti kuchukua kazi za raia Australia
Takriban asilimia 40 ya kazi nchini Australia ambazo zipo kwa sasa huenda zikapotea katika kipindi cha kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Roboti yatua kwenye Kimondo angani
Roboti hiyo iliyotengezwa Ulaya , imefanikiwa kutua katika kimondo baada ya safari ya miaka kumi likiwa ni jambo la kihistoria
10 years ago
Habarileo18 Oct
Wengi wapasuliwa kwa njia ya roboti
IMEELEZWA kuwa Watanzania wengi wanaosumbuliwa na magonjwa ya saratani ya kichwa, shingo ya kizazi na mfumo wa mkojo wamekuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini India kwa kutumia upasuaji kwa njia ya roboti.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania