Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alfonso Dhlakama atoka msituni

Alfonso Dhlakama aamua kujitokeza katika mji mkuu wa Mozambique,Maputo,baada ya miaka miwili kuwa mafichoni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Odinga- Nitarudi msituni

KIONGOZI wa muungano wa Cord, Raila Odinga ametangaza 'atarudi msituni' iwapo madai ya hoja walizoziorodhesha chini ya kampeni ya Okoa Kenya hazitatafutiwa ufumbuzi na Serikali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Wazazi wawasaka watoto msituni

Wazazi wa takriban watoto 100 waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwatafuta watoto wao.

 

9 years ago

Habarileo

Wazazi wakubali kumzika mtoto aliyeuawa msituni

WAZAZI wakazi wa Kijiji cha Kamsisi wilayani Mlele katika Mkoa wa Katavi wamekubali kuuzika mwili wa mtoto wao Moshi Salehe (17) anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi za moto na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).

 

10 years ago

Mwananchi

Jonas Savimbi, mtoto wa ‘mtumishi’ aliyeingia msituni

Risasi 15 zilizoingia katika maeneo tofauti ya mwili wa Jonas Malheiro Savimbi ziliukatiza uhai wake, baada ya miaka 27 ya mapambano ya msituni dhidi ya Serikali ya Angola.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ningemwona Lowassa shujaa kama angekimbilia msituni

EDWARD Ngoyayi Lowassa, ni miongoni mwa Watanzania wachache katika

Mayage S. Mayage

 

10 years ago

Michuzi

ASHA BUI MWANAMKE PEKEE KUCHEZA FILAMU MSITUNI

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Aisha Bui, amedai kuwa alijitoa maisha yake kutoka na filamu yake ya Mshale wa Kifo, kutokana na sinema hiyo kutengeneza porini katika msitu hatari wenye wanyama wakali.

Msanii huyo amedai alifanya hivyo kufuatia maoni ya wapenzi wa filamu ambao kila siku wanalalamika kwa kusema kuwa filamu zetu nyingi zimekuwa za mijini tu, huku baadhi ya matukio yakirudiwa kila katika sinema hizo jambo ambalo limekuwa likiongelewa mara kwa mara.

“Nilijitoa maisha yangu kwa kuingia...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya

Jaji mstaafu Mark Bomani JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.

Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.

Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe atoka hospitali

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani