Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliens wahusishwa na chapa ya mnyama siku za mwisho

Scary_Movie_Aliens.jpgILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA

Wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo kuna kila dalili kwamba viumbe hawa wa ajabu waishio angani wa Aliens wamekuwepo enzi na enzi tangu Agano la Kale. Mbali na Aliens lakini viumbe wasioonekana wapo wengi mno na bado kuna jamii kubwa sana ya virusi ambavyo bado havijagundulika. SASA ENDELEA…

Katika hali kama hiyo, kuna andiko kutoka kwenye Aliens Encounters kuwa viumbe hawa pamoja na vitu vinavyoonekana angani visivyoeleweka almaarufu kwa jina la Ufo ni viumbe...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NI ALIENS; WAHUSISHWA NA UPOTEVU WA WATU, NDEGE

Makala: Sifael Paul
Duniani kuna mambo mengi ya ajabu ambayo umewahi au hujawahi kusikia. Gazeti hili linapanda milima na kushuka mabondeni kisha kupaa angani kukuletea simulizi ya undani wa viumbe wa ajabu waishio au waonekanao angani. Ungana nami katika simulizi hii. Huko nyuma niliwahi kudokeza kwenye gazeti tumbo moja na hili, Ijumaa Wikienda lakini sikuingia ndani ili kupata ukweli juu ya viumbe hao wa ajabu waishio...

 

9 years ago

GPL

ALIENS WAHUSISHWA NA MAAJABU YA PEMBETATU YA SHETANI

Kama nilivyoeleza wiki iliyopita, Bermuda Triangle au Pembetatu ya Shetani ni eneo la uso wa dunia ambalo limekuwa likihusishwa na masuala mbalimbali ya nguvu za kimaajabu. Ni eneo ambalo maelfu ya watu wamepoteza maisha, ndege na meli nyingi zimepotea, pasipo kujulikana zilipokwenda. Bermuda Triangle inapatikana Pwani ya Kusini-Mashariki mwa Marekani na iko katika Bahari ya Atlantiki. SASA ENDELEA… Yapo mataifa yaliyoamua...

 

9 years ago

GPL

ALIENS WAHUSISHWA NA UPOTEVU WA NDEGE YA MALAYSIA

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita nilieleza namna ambavyo Wamarekani waliamua kusitisha safari za kwenda mwezini kwa sababu ya tishio la viumbe wa ajabu wanaodaiwa kuweka kambi mwezini.
Kuhusu viumbe hao wa Aliens na UFO, tayari watu zaidi ya nusu bilioni duniani kote wamefuatilia na wanaendelea kufuatilia habari hizo ambazo zimekuwa na msisimko mkubwa kwenye Vyombo vya Habari vya Magharibi.
SASA...

 

9 years ago

Raia Mwema

Manabii Wa Siku Za Mwisho..!

"NATAMKA mbele ya Bwana. Sikiliza kwa makini, Abrakadabra! Abrakadabra!

Maggid Mjengwa

 

9 years ago

Mwananchi

Usajili siku ya mwisho Ulaya

Manchester United yamnasa Martial Manchester United imemnasa mshambuliaji wa Monaco, Anthony Martial baada kupewa ruhusu kuondoka katika kambi ya Ufaransa na kusafiri kwenda England, lilithibisha Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF).

 

11 years ago

BBCSwahili

Siku za mwisho za maisha ya Mandela

Mwanawe mkubwa wa kike Hayati Nelson Mandela, Makaziwe Mandela ameambia BBC kuhusu siku za mwisho za maisha ya babaake.

 

10 years ago

Dewji Blog

SUMATRA yatahadharisha wanaosafiri kipindi cha msimu wa siku kuu za mwisho wa mwaka

SUMATRA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam jana juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za Krismas na mwaka mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali kutozwa nauri za juu na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa haraka.  Soma taarifa kamili hapa chini. (Source Father Kidevu Blog).

NAURI HALALI ZA MABASI YA MIKOANI

 

10 years ago

Dewji Blog

LEO NI SIKU YA MWISHO: Piga kura uboreshe maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi

Untitled

Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo  nchini Uholanzi.  Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa  katika uboreshaji wa maisha ya watu  wenye ulemavu wa ngozi.  Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa siku ya pili mfululizo

Milolongo mirefu yashuhudiwa katika majengo ya bunge Kenya kuutazama mwili wa Daniel Arap Moi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani