Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYETAKA KUUA KWA PANGA, AUAWA

Na Gregory Nyankaira, Butiama BULEMO Mugeta (36),  (pichani) mkazi wa Kitongoji cha Kibisa, Kijiji cha Nyamisisi Wilaya ya Butiama, ameuawa kinyama kwa kupondwa na mawe na kupasuliwa kichwa na wananchi wenye hasira kali akituhumiwa kujihusisha na matukio kadhaa ya wizi.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1fChjTE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

ASKARI AUAWA KWA PANGA AKIMUOKOA MTOTO HUKO DODOMA

Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu huyo.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime amemtaja askari aliyeuawa jana majira ya saa 5:00 asubuhi kuwa ni Joseph Swai.Akisimulia mkasa huo kwa waandishi wa habari, Kamanda Misime alisema kuwa askari huyo aliitikia mwito uliofika kwake wa kuwepo kwa dalili ya tendo la jinai nyumbani...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyetuhumiwa kuua wanawake auawa

MTUHUMIWA wa mauaji ya wanawake na watoto mkoani hapa, Ramadhan Jumanne (37) ameuawa katika tukio la majibizano ya risasi na askari polisi.

 

10 years ago

CloudsFM

ASKARI POLISI AMKATA VIDOLE VINNE MFANYAKAZI WAKE KWA PANGA AKIMTUHUMU KWA KUMWIBIA DEKI YA VIDEO.

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video nyumbani kwake.Tukio hilo la kujeruhiwa kijana Steven Magessa (18), lilitokea Oktoba 20 mwaka huu katika kijiji cha Magange Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara nyumbani kwao kijana huyo aliyekuwa amekimbilia huko baada ya kudaiwa kumwibia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto ajeruhi mzazi kwa panga

MKAZI wa kijiji cha Ndala, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Andondile Mwasamlagila (50) amenusulika kufa baada ya kucharangwa na mapanga na mtoto wake, Yuda Mwasamlagila kutokana na ulevi wa kupindukia....

 

10 years ago

Mwananchi

Panga la urais CCM kuhamia kwa wabunge

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kitatumia ‘panga’ lilelile lililotumika kumpata mgombea wake wa urais katika kuchuja wagombea ubunge na udiwani kupitia vikao vyake halali ili kupata wagombea safi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua jirani yake kwa rungu, panga

VILIO na simanzi vilitawala katika Kijiji cha Kikavu Chini, Kata ya Machame Kusini wilayani Hai, baada ya Alex Peter kudaiwa kumshambulia jirani yake aliyefahamika kwa jina la Pili Mnyamvua (65)...

 

9 years ago

Mwananchi

Mume ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa panga

Mkazi wa Kijiji cha Malolo Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Chipunguli Mkisi (30) anadaiwa kumuua mkewe Neva Mwaweza (24) kwa kumcharanga mapanga kichwani kutokana na wivu wa mapenzi, kisha kujiua kujinyonga kwa kamba.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Panga pangua ya ratiba Ligi Kuu ni aibu kwa TFF

>Tangu Ligi Kuu ya Tanzania Bara ianze Septemba mwaka jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  limekuwa likiipangua ratiba yake kwa sababu mbalimbali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyetaka kumuua Papa John Paul amuenzi

Mwanamme mmoja raia wa Uturuki aliyempiga risasi na nusura amuue papa John Paul wa pili mwaka 1981 ameweka maua kwenye kaburi lake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani