ALIYETEGEMEA RAFIKIYE KUJIFUNGUA MAPACHA WATANO AGUNDUA SI KWELI
![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQLyxkauVZgazQK*6pMLIU26WCla9HzvoWnKq7dzBgSBJWwL6icCHUMRFcpvRNsrka2773MXokoBOXYGM8qeIcbs/servat620x349.jpg?width=650)
Paul Servant aliyekuwa anategemea rafiki yake wa kike Barbara Bienvenue kumzalia watoto watano kwa mpigo. PAUL SERVAT wa Canada alikuwa anategemea rafiki yake wa kike Barbara Bienvenue kumzalia watoto watano kwa mpigo lakini akaambiwa na madaktari kwamba si kweli na kwamba mwanamke huyo hakuwa na mimba yoyote. Paul Servant akiwa…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Stewart agundua dosari Azam
NA MSHAMU NGOJWIKE, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall raia wa Uingereza, amegundua dosari ndani ya kikosi chake huku akieleza kuwa hajaridhishwa na ubora wa nyota wake kutokana na uwezo walioonyesha katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons.
Azam ambao wameanza mkakati wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kushindwa kuutetea msimu uliopita, juzi waliwakaribisha Prisons kwenye Uwanja wa Azam, Complex na kufanikiwa kuibuka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8EByzsl383NKuR1T7tNTTdYVU0NAoB3xFj17Wfdrh8IZnughb8HTqDJYABNYEpsiF*HQM0IhcPi6wuS2QoPE4O/NOMASANA.jpg)
BINTI AOLEWA, AGUNDUA NI MKE WA 9
11 years ago
Mwananchi24 Jun
UTAFITI: Mtanzania agundua chanjo ya ndui ya kuku
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Kijana agundua mashine ya kubangua mbegu za michikichi
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s72-c/LEMUTUZII899.jpg)
Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli
![](http://2.bp.blogspot.com/-akUSMuMoELE/VLYtEZkZc2I/AAAAAAAAmcQ/AHNbTksNfQc/s640/LEMUTUZII899.jpg)
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y39xTR5a6g5PlqqR-ZcFt2Hjja8O2SjFhDbD34C2oebLFRZX7M3grgsy0o0PKy3XKy52iyBcqXsJqWvhjtna4A3M3QlERbEn/lulu.jpg)
LULU AHIFADHI NGUVU ZA KUJIFUNGUA
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Umri wa mimba hadi kujifungua
MARA moja kwa kila mwezi tutakuwa tunamsikiliza mjamzito aliyejifungua hivi karibuni tukijaribu kujifunza kwake kuhusu ujauzito. Katika makala ya leo tunamsikiliza Mama Mariam kuanzia alipokuwa na ujauzitio wa miezi sita...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Ugonjwa wa akili baada ya kujifungua
“HALI mbaya zaidi inayoweza kutokea baada ya mjamzito kujifungua ni ugonjwa wa akili, ijapokuwa huo si ugonjwa wa kawaida sana,” linaeleza Jarida la Brazilian Journal of Medical. Mgonjwa anaweza kuona,...