Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anna: Wazazi walinilazimisha kuolewa

KUNA usemi usemao ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni’ na hivyo ndivyo yalivyomtokea Anna Juma, mkazi wa Kata ya Ikowa, Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma. Anna anaelezea kusikitishwa kwake  kukatishwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya
GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...

 

9 years ago

TheCitizen

PROFILE: Anna Mghwira

Anna Mghwira was born on January 23, 1959 at Mungumaji Ward in Singida. Her father was a councillor through Tanu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unamfahamu Anna Mghirwa ?

Je unamfahamu Anna Mghirwa ? tazama mahojiano yake na Zuhura Yunus wa BBC Dira ya Dunia TV hapa

 

9 years ago

BBCSwahili

Wasifu wa Bi Anna Mghirwa

Mghirwa ndiye mgombea pekee wa kike katika kinyang'anyiro cha urais Tanzania mwaka 2015

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE JOHARI KUOLEWA!

Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha KILA jambo na wakati wake! Hatimaye staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ yuko kwenye mwanga wa maisha ya ndoa kufuatia Kiongozi wa Kundi la Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi huku akisema ana mpango wa kumuoa kabisa, Risasi Jumamosi linakupa zaidi. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. ...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Anna Makinda achachamaa

Spika wa Bunge, Anne Makinda amezitaka kamati tatu za Bunge ambazo wenyeviti wake walitakiwa kuwajibika kutokana na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, kufanya uchaguzi wa wenyeviti wengine kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 18 wa Bunge, Januari 27 mwaka huu mjini Dodoma.

 

10 years ago

Vijimambo

ANNA MAKOYE AKAMATA NONDOOZ

 Anna Makoye akiwa na mumewe bwana Dotto Mallongo wakipata picha ya pamoja mara baada ya mahafali ya 10 ya chuo kikuu cha kimataifa cha Virginia(Virginia international University) kilichopo Fairfax siku ya Jumapili May 10, 2015. Anna Makoye amekamata Nondo ya Masters of Business Administration in human resources. Kutoka kushoto ni dada raia wa Nigeria, professor Victoria Ashiru, Anna Makoye na Dotto Mallongo, wakiwa katika picha ya pamoja katika mahafali ya 10 ya Virginia international...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumradhi Prof Anna Tibaijuka

Katika toleo la Alhamisi Januari 9, 2014 gazeti hili lilichapisha habari kuhusu matokeo ya ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika Shamba la Mpunga la Kapunga, wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani