Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANNA MAKOYE AKAMATA NONDOOZ

 Anna Makoye akiwa na mumewe bwana Dotto Mallongo wakipata picha ya pamoja mara baada ya mahafali ya 10 ya chuo kikuu cha kimataifa cha Virginia(Virginia international University) kilichopo Fairfax siku ya Jumapili May 10, 2015. Anna Makoye amekamata Nondo ya Masters of Business Administration in human resources. Kutoka kushoto ni dada raia wa Nigeria, professor Victoria Ashiru, Anna Makoye na Dotto Mallongo, wakiwa katika picha ya pamoja katika mahafali ya 10 ya Virginia international...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makoye aipa Simba siri ya mafanikio

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye “Dogo” amewataka viongozi wa Simba kumaliza migogoro yao ya ndani kama kweli wanataka kufanya vyema katika mechi za Ligi Kuu ikiwepo ile ya Yanga Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Makoye amshauri Maximo kuhusu Coutinho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye ‘Dogo’, amesema kocha Marcio Maximo anatakiwa kumpeleka ‘gym’ kiungo wake, Andrey Coutinho kwa kuwa hana nguvu za kutosha kupambana na mabeki wa Kitanzania. 

 

10 years ago

Vijimambo

STANLEY KICHAI AKAMATA NONDOZ

Stanley Kichai mkaazi wa DMV akiwa amekamata Nondo kama anavyoonekana kwenye picha

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINESHEILA MGAZA AKAMATA NONDOZ

 Sheila Mgaza akiwa katika picha ya pamoja na ndugu jamaa siku ya kukamata nondo chuo kikuu cha Maryland May 16, 2015. Familia ya Sheila ikinunua maua ya pongezi watakayomzawadia baada ya kukamata nondo ya MBA Sheila akipongezwa na mmoja ya wanafamilia, Sheila akiwa katika picha ya pamoja na familia yake.Picha zote na Tito MazaliPicha zaidi bofya soma zaidi
 Wanafamilia wakimpongeza Sheila kwa kumzwadia maua. Familia ikifurahi na Sheila Mama na mwana katika picha ya pamoja Ndugu wakifurahia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msama akamata CD feki Dar za Mil 200/-

OPERESHENI ya kukamata watuhumiwa wa wizi wa kazi za wasanii, imeshika kasi baada ya Kampuni ya Msama Auction Mart kukamata mashine za kisasa za kurudufu kazi za wasanii na CD...

 

10 years ago

Vijimambo

ALMA NYANG'ORO AKAMATA NONDO, NORTH CAROLINA

 Alma Nyang]oro akiwa na Baba na Mama katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo katika shule ya Cary Academy iliyopo jimbo la North Carolina. Alma katika picha ya pamoja na babu yake Mzee Yusuf Kalala na mdogo wake Monica baada ya kukamata nondo yake ya high school katika shule ya Cary Academy. Alma na mama yake Alu Kalala Nyang'oro wakipata picha ya kumbukumbu katika siku hii muhimu maishani mwake. Alma na mjomba wake Felix.
Alma akipata picha na familia nzimaKwa picha zaidi bofya soma...

 

10 years ago

Vijimambo

ANWAR RAMADHAN AKAMATA NONDO, NEW YORK NCHINI MAREKANI

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mwanae Anwar Ramadhan baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule ya New Rochelle jimbo la New York Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wanae Anwar Ramadhan Lutfia Ramadhan(kulia) na Arif Ramadhan (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule...

 

10 years ago

Bongo5

David Moyes akamata kazi ya kuinoa Real Sociedad

Kocha wa zamani wa Manchester, David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Hispania, Real Sociedad. Hiyo ya kwanza tangia atimuliwe kama meneja wa United mwezi April mwaka huu baada ya kufanya kazi kwa miezi 10. Moyes amechukua nafasi ya Jagoba Arrasate, aliyeachishwa kazi na Sociedad kutokana na kuwa na matokeo mabaya. Raia huyo […]

 

10 years ago

Vijimambo

NGALU BUZOHERA AKAMATA NONDO YA MASTER OF HEALTH SERVICES ADMINISTRATION

Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi Mrs.Rehema Buzohera mfanyakazi Hazina,wizara ya Fedha  Dar es Salaam Tanzania siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama mkubwa Zainab Kastico siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration Kutoka kushoto ni mama mkubwa Zainab Kastico,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani