Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anusurika kuchinjwa katika ugomvi wa wakulima Wilaya ya Kiteto

>Bahati ni kweli ana bahati kama jina lake lilivyo Bahati. Katika mapigano, yaliyotokea hivi Karibuni, mtoto, Bahati Juma alikuwa ni mmoja wa watu waliojikuta wako katikati ya mapigano hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi anusurika kuchinjwa

MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika shule ya msingi Majengo wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Said Joshua (12) amenusurika kufa baada ya kudaiwa kukatwa shingoni na baba yake aliyetaka kumuua.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji, wakulima Kiteto wauana katika mapigano

Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Anusurika kifo baada ya kuchinjwa na baba yake

MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Majengo wilayani Kahama, Shinyanga, Said Siraji (13), amenusurika kufa baada ya kuchinjwa shingo na baba yake mzazi. Hivi sasa mtoto huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka 13 anusurika kuchinjwa na baba yake mzazi

Mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Majengo, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga amelazwa katika Hospitali ya wilaya baada ya kunusurika kifo kutokana na jaribio la kuchinjwa na baba yake mzazi.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA MHE.DKT. TITUS KAMANI (MB) KATIKA WILAYA ZA KITETO NA KILINDI

Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb) amefanya ziara katika Wilaya za Kiteto na Kilindi kukagua ujenzi wa malambo kwa ajili ya maji ya mifugo na binadamu. Malambo hayo yamegharamiwa na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika bajeti ya mwaka 2014/15. Lambo la Olpopong lililopo Wilaya ya Kiteto limegharimu Tshs.584 milioni. Aidha lambo la Kwamaliga lililopo Wilaya ya Kilindi litagharimu Tshs.1.25 bilioni. Mifugo zaidi ya 60,000 kutoka katika Vijiji vya Kimana, Ngabolona Ndaleta inatarajiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji vitani Kiteto

MZAHA na uzembe unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wilayani Kiteto na mkoani Manyara katika kusuluhisha mgogoro wa wafugaji na wakulima, umesababisha mauaji ya watu zaidi ya 13 usiku wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji ya wakulima tena Kiteto

MAPAMBANO kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, yanaendelea kushika kasi na kusababisha watu wanne kupoteza maisha. Hali hiyo ilibainishwa na Katibu wa wakulima wilayani hapa,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ndugai alalamikia mauaji ya wakulima Kiteto


THEODOS MGOMBA 
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amesikitishwa na mauaji ya wakulima yanayoendelea kutokea katika wilaya ya Kiteto,   ambayo inapakana na jimbo lake la Kongwa na kuitaka serikali kuingilia kati.Ndugai alifikia hatua hiyo jana baada ya Mozza Abeid  (Viti Maalumu-CUF) kuomba mwongozo wa Spika. 
Akitumia kanuni ya 68(7), Moza alisema kumekuwa kukitokea mauaji ya kutisha ya wakulima katika wilaya ya Kiteto. 
Moza alisema katika kipindi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani