Aomba mitaala ya ujasiriamali shuleni
SERIKALI imeombwa kuandaa mitaala ya elimu ya ujasiriamali kuanzia shule za msingi ili kuwajenga wanafunzi hususani wenye ulemavu wa aina mbalimbali, kukua katika misingi imara ya kujitegemea mara wamalizapo masomo yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana- 1
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana-2
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Umuhimu wa mafunzo ya ujasiriamali shuleni na vyuoni
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
‘Kubadilishwa mitaala kunachangia kufeli’
KUBADILISHWA kwa mitaala ya kufundishia shule za Msingi na Sekondari nchini, ni miongoni mwa sababu za wanafunzi kushindwa kufanya vizuri katika mitihani yao ya kuhitimu kutokana na mkanganyiko kwenye mitaala...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Serikali yashauriwa kubadili mitaala ya elimu
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kubadili mitaala ya sekta hiyo kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa elimu ili kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika taifa na...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Dk Bilal kufungua mkutano wa mitaala ya Kiislamu
CHUO Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kwa kushirikiana na Taasisi ya International Islamic Thought (IIIT) yenye makao yake makuu nchini Marekani, kimeandaa mkutano wa kimataifa juu ya Epistimolojia ya Kiislamu na Maendeleo ya Mitaala.
11 years ago
Habarileo27 Mar
TMA: Hali ya Hewa iingizwe kwenye mitaala
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kuingiza mitaala ya elimu juu ya masomo yanayohusu hali ya hewa katika shule za Sekondari. Imesema hali hiyo itawezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na hali zake katika karne zijazo.
10 years ago
Habarileo14 Jan
Balozi ashauri mitaala kubeba hatma ya nchi
BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo ameshauri mitaala ya elimu iingize masuala yanayowaunganisha Watanzania ili kuvisaidia vizazi vya sasa na vijavyo kuilinda nchi.
10 years ago
Habarileo11 Dec
Waziri Kabaka aibana VETA kuhusu mitaala
WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka ametoa rai kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) kuhakikisha wanasikiliza maoni ya wadau ili kujua mahitaji yao sambamba na kubadili mitaala ya elimu ya mafunzo yanayotolewa kwenye vyuo hivyo ili kuendana na soko la ajira lililopo hivi sasa.