Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana-2

Wiki iliyopita nilianza kugusia sababu kwa nini tunahitaji kuufanyia mabadiliko mfumo wetu wa elimu. Endelea

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana- 1

Miezi kadha iliyopita tulishuhudia takriban vijana 10,000 wakimiminika katika Uwanja Mkuu wa Taifa kwa ajili ya usaili wa nafasi 70 za kazi katika idara mbalimbali za Uhamiahaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa mafunzo ya ujasiriamali shuleni na vyuoni

Elimu ya ujasiriamali katika nchi yetu haina umri mkubwa kama zilivyo taaluma nyingine kama vile lugha, historia, siasa na sayansi.

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA KWANZA YA KIMATAIFA YA VIPAJI MPIRA WA MIGUU KWA VIJANA WALIOKO SHULENI NA VYUONI, TANZANIA DESEMBA 19 — 21 2014

Tunayo furaha kukujulisheni kuwa taasisi ya Boko Beach Veterans Sports Club (BBV) itaandaa maonyesho ya kimataifa ya vipaji vya mpira wa miguu kwa vijana wa mashuleni na vyuoni, kuanzia tarehe 19 had 21 kwenye uwanja wao wa kisasa ulioko maeneo ya Boko, Kinondoni , Dar es salaam.  
Maonyesho haya ni nafasi dhahiri kwa vijana wenye vipaji vya kusakata mpira wa miguu, wavulana kwa wasichana, kucheza soka nchini Marekani huku wakisoma katika vyuo vya nchini humo kwa kulipiwa gharama zote....

 

11 years ago

Habarileo

Aomba mitaala ya ujasiriamali shuleni

SERIKALI imeombwa kuandaa mitaala ya elimu ya ujasiriamali kuanzia shule za msingi ili kuwajenga wanafunzi hususani wenye ulemavu wa aina mbalimbali, kukua katika misingi imara ya kujitegemea mara wamalizapo masomo yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Mikopo ya elimu inawezekana

Moja ya kero kuu zinazoikabili sekta ya elimu nchini ni kuwapo kwa idadi kubwa ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaokosa mikopo. Wanaobahatika kupata nao wanapewa chini ya kima halisi wanachohitaji pia fedha zenyewe baadhi ya nyakati zinachelewa kuwafikia.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu bora inawezekana Serikali ikiamua

Baada ya matokeo ya Mtihani ya Darasa la Saba mwaka 2011 kutangazwa, mengi yalizungumzwa hasa baada ya kubainika kuwa zaidi ya wanafunzi 5,200 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza walikuwa hawajui kusoma wala kuandika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ataka elimu ya ujasiriamali wa vikundi

SERIKALI imetakiwa kuvipa  kipaumbele  vikundi vya ujasiriamali ikiwa na pamoja na kuwapatia elimu ya mafunzo mara kwa mara.  Ushauri huo ulitolewa na Mwalimu wa Vikoba, Rukia Mwinyi wakati wa mafunzo ya wajasiliamali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake 600 kupewa elimu ya ujasiriamali

ZAIDI ya wanawake 600 mkoani Mwanza, wanatarajiwa kupata elimu juu ya ujasiriamali, usimamizi wa fedha, uwekaji akiba pamoja na mafunzo ya afya bora katika viwanja vya Mwaloni Kirumba Septemba 4...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani