Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


APRM, MKAKATI MARIDHAWA KUDUMISHA UTAWALA BORA NA UCHUMI

Viongozi wa Nchi za Kiafrika katika Makao Makuu ya AU. Jumla ya nchi 34 kati ya 54 wanachama hai wa AU ni wanachama Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM). Wajumbe wa Bodi na Sekretarieti ya APRM (Tanzania) wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt. Jakaya Kikwete. Kushoto kwa Rais ni Mwenyekiti wa APRM, Prof. Hassa Mlawa na kulia ni Katibu Mtendaji wa APRM, Bibi Rehema Twalib.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)

Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...

 

10 years ago

Mwananchi

Utawala bora ukizingatiwa, uchumi utakua haraka nchini

Wataalamu wa masuala ya uchumi na siasa wamefanya tafiti mbali mbali zinazoonyesha kuwa nchi haiwezi kuwa na maendeleo bila kuwa na misingi imara ya utawala bora.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkakati wa Megawati 10,000 kuiingiza nchi uchumi wa kati

Alisema wakati wa kutumia ujuanjaujanja kupata nafasi za kuwekeza katika maeneo muhimu kwa sasa haipo na kinachohitajika ni uwazi wakati wa kuomba fursa hizo muhimu kwa sasa.

 

11 years ago

Habarileo

Misingi ya utawala bora yaendelea kuwekwa

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).

 

9 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake katika Serikali ya awamu ya nne. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara baada ya kumaliza Uongozi wake.

 

9 years ago

Habarileo

Tume ya Utawala Bora yaonya wanasiasa

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetahadharisha wanasiasa, kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi katika mikutano yao ya kampeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utawala bora bado kikwazo serikalini

UTAWALA bora bado umeonekana kuwa ni tatizo katika wizara na taasisi za serikali wakati wa usimamizi wa rasilimali za nchi kwa wazawa na wawekezaji. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

semina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania

 Wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. . katika Ukumbi wa NIMRI  Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya  Mkakati wa Mawasiliano ya  Mazingira  Endelevu wa ukuaji wa  u chumi na kupunguza Umaskini  Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani