Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ardhi yapasuka na kumeza magari 12

Wataalamu wa jiolojia wameitwa kuchunguzwa ni jinsi gani ardhi ilipasuka na kumeza magari 12 katika maegesho ya magari jijini Mississippi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI‏

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na Viongozi wa Umoja wa Mafundi Magari Tegeta wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi kati ya wanaumoja huo pamoja na mwekezaji alipokwenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro huo Dar es Salaam jana.DC Paul Makonda akiwahutubia wana umoja huo.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na viongozi wa umoja huo.Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Nationi Ndela akitoa historia ya mgogoro huo mbele ya DC Makonda.Baadhi ya...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI‏

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na Viongozi wa Umoja wa Mafundi Magari Tegeta wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi kati ya wanaumoja huo pamoja na mwekezaji alipokwenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro huo Dar es Salaam jana.  DC Paul Makonda akiwahutubia wana umoja huo.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda… ...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

UKAWA yapasuka



Wabunge CHADEMA wahudhuria bungeniHotuba ya Sitta gumzo, zaidi watarajiwaKamati zaanza kujadili Sura ya 12 ya Rasimu 
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MPASUKO miongoni mwa wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umezidi kushika kasi huku baadhi wakiamua kuasi na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
Kundi la UKAWA, ambalo limesusia kushiriki vikao vya bunge hilo, linaundwa na wajumbe kutoka vyama vya CHADEMA, NCCR-Mageuzi na CUF, ambapo jitihada za makundi mbalimbali nchini,...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yapasuka Kigoma

Viongozi watatu wa Chadema mkoani Kigoma, wametangaza kujitoa katika chama hicho kwa madai hakina demokrasia.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema Monduli yapasuka ‘vipandevipande’

UONGOZI wa Chadema wilayani Monduli umesambaratika, kufuatia hatua ya viongozi wa juu wa chama hicho kujiuzulu nyadhifa zao.

 

10 years ago

Bongo Movies

MTANI JEMBE:Mchopanga Nursa Kumeza Madawa,JB Asumbuka Kumtuliza

Baada ya Simba kumshushia kipigo kikali Yanga  cha mabao mawili kwa sifuri, nakuibuka mtani jembe. Muigizaji na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga, Mchopanga  inasemekana alitaka kumeza madawa baada ya kuchapa kilaji.

Ripoti kutoka kwa JB, ambae ni shabiki kindakindaki wa timu ya Simba.

“Tahadhari: unaweza ukadharau lakini nikweli.tulitumia zaidi ya masaa2 kumtuliza chopa asimeze madawa.kwanza alianza kulewa uwanjani mara tu baada ya goli la pili.alikuwa analia muda wote.kisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dar waendelea na kumeza dawa kijikinga na Minyoo, Matende na Mabusha

1

Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu.

2

3

Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Hoja ya Maalim Seif kupokezana urais yawa ‘ngumu kumeza’

 Kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu haja ya kupokezana nafasi ya urais kati ya Bara na Visiwani imekuwa ‘ngumu kumeza’ kwa wanasiasa walio wengi.

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa yapasuka kwa kasi Vunjo

MPASUKO ndani ya vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, umeanza kushika kasi baada ya madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kunyimwa eneo la kukaa kwenye mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za chama cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani