Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA yapasuka



Wabunge CHADEMA wahudhuria bungeniHotuba ya Sitta gumzo, zaidi watarajiwaKamati zaanza kujadili Sura ya 12 ya Rasimu 
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MPASUKO miongoni mwa wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umezidi kushika kasi huku baadhi wakiamua kuasi na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
Kundi la UKAWA, ambalo limesusia kushiriki vikao vya bunge hilo, linaundwa na wajumbe kutoka vyama vya CHADEMA, NCCR-Mageuzi na CUF, ambapo jitihada za makundi mbalimbali nchini,...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ukawa yapasuka kwa kasi Vunjo

MPASUKO ndani ya vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, umeanza kushika kasi baada ya madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kunyimwa eneo la kukaa kwenye mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za chama cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yapasuka Kigoma

Viongozi watatu wa Chadema mkoani Kigoma, wametangaza kujitoa katika chama hicho kwa madai hakina demokrasia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ardhi yapasuka na kumeza magari 12

Wataalamu wa jiolojia wameitwa kuchunguzwa ni jinsi gani ardhi ilipasuka na kumeza magari 12 katika maegesho ya magari jijini Mississippi.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema Monduli yapasuka ‘vipandevipande’

UONGOZI wa Chadema wilayani Monduli umesambaratika, kufuatia hatua ya viongozi wa juu wa chama hicho kujiuzulu nyadhifa zao.

 

9 years ago

StarTV

Chadema yapasuka Bunda, kisa Bulaya

KARIBU robo tatu ya viongozi wakuu wa Chadema wilayani hapa, walijiuzulu nyadhifa zao jana na kutangaza kuhamishia nguvu zao kwa mgombea ubunge wa CCM, Stephen Wasira. Wamedai wanafanya hivyo kutokana na kukerwa na kitendo cha makao makuu ya Chadema, kumpitisha Esther Bulaya kuwa mgombea ubunge jimboni humo, licha ya kuwa alishika nafasi ya tatu katika kura za maoni.

Bulaya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), alihamia Chadema hivi karibuni na moja kwa moja kwenda kujaribu siasa za...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani