Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa yapasuka kwa kasi Vunjo

MPASUKO ndani ya vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, umeanza kushika kasi baada ya madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kunyimwa eneo la kukaa kwenye mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za chama cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

UKAWA yapasuka



Wabunge CHADEMA wahudhuria bungeniHotuba ya Sitta gumzo, zaidi watarajiwaKamati zaanza kujadili Sura ya 12 ya Rasimu 
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MPASUKO miongoni mwa wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umezidi kushika kasi huku baadhi wakiamua kuasi na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
Kundi la UKAWA, ambalo limesusia kushiriki vikao vya bunge hilo, linaundwa na wajumbe kutoka vyama vya CHADEMA, NCCR-Mageuzi na CUF, ambapo jitihada za makundi mbalimbali nchini,...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wawatawanya wafuasi wa Ukawa kwa risasi Vunjo

Jeshi la Polisi, jana lililazimika kufyatua risasi za moto hewani ili kuwatawanya wafuasi wa Chadema na NCCR-Mageuzi waliokuwa wamekusanyika nje ya kituo cha Polisi cha Himo.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yapasuka Kigoma

Viongozi watatu wa Chadema mkoani Kigoma, wametangaza kujitoa katika chama hicho kwa madai hakina demokrasia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ardhi yapasuka na kumeza magari 12

Wataalamu wa jiolojia wameitwa kuchunguzwa ni jinsi gani ardhi ilipasuka na kumeza magari 12 katika maegesho ya magari jijini Mississippi.

 

9 years ago

Habarileo

Chadema Monduli yapasuka ‘vipandevipande’

UONGOZI wa Chadema wilayani Monduli umesambaratika, kufuatia hatua ya viongozi wa juu wa chama hicho kujiuzulu nyadhifa zao.

 

9 years ago

StarTV

Chadema yapasuka Bunda, kisa Bulaya

KARIBU robo tatu ya viongozi wakuu wa Chadema wilayani hapa, walijiuzulu nyadhifa zao jana na kutangaza kuhamishia nguvu zao kwa mgombea ubunge wa CCM, Stephen Wasira. Wamedai wanafanya hivyo kutokana na kukerwa na kitendo cha makao makuu ya Chadema, kumpitisha Esther Bulaya kuwa mgombea ubunge jimboni humo, licha ya kuwa alishika nafasi ya tatu katika kura za maoni.

Bulaya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), alihamia Chadema hivi karibuni na moja kwa moja kwenda kujaribu siasa za...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Mhe Maximillian Lyimo apiga kura Vunjo

Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo.

Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Maximillian Lyimo hatimaye amepiga kura yake katika Kituo cha Njia Panda, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, baada ya mambo kuwekwa sawa. Awali Mhe. Lyimo alishindwa kupiga kura baada ya kukosekana taarifa zake kituoni hapo.Mhe Lyimo aliyejiandikishia mkoani Dar es Salaam, jana alienda kufunga kampeni zake Jimbo la Vunjo na kulala huko. Asubuhi ya leo...

 

9 years ago

Michuzi

libeneke la zawadi kwa wenye stika za EFM 93.7 laendelea kwa kasi

 Mshindi mwingine tabasamu na kufarahiya kukabidhiwa zawadi yake na Jimmy Jiam baada yakuonekana kuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya bishara huko Kisarawe mkoa wa Pwani ambako kituo hiki pendwa husikika bila kelele wala mikwaruzo.  Mshindi mwingine huko Kisarawe akipewa zawadi yake na Jimmy Jiam na huku Jimmy Jiam akiwa anaongea moja kwa moja yaani  live kupitia masafa ya 93.7 EFM. Jimmy Jiam akimtunza mshindi wa Muziki Mnene bango baada yakuona kuwa ameweka stika za EFM kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani