Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja ya Maalim Seif kupokezana urais yawa ‘ngumu kumeza’

 Kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu haja ya kupokezana nafasi ya urais kati ya Bara na Visiwani imekuwa ‘ngumu kumeza’ kwa wanasiasa walio wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vuai apinga hoja za Maalim Seif

Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa ikitimiza miaka mitatu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wananchi wa Zanzibar kamwe hawatashawishika kumchagua Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad kwa madai kuwa hana utashi na uwezo wa kuwaunganisha Wazanzibar.

 

9 years ago

Habarileo

Maalim Seif azindua safari ya Urais

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema endapo atashinda katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, atahakikisha anaurudisha bungeni mchakato wa Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana  utashi na dhamira...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADAHAMINIWA TENA KUGOMBEA URAIS

 Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.  Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar

Maalim Seif Sharifu Hamad ambaye kwa sasa ni Makamu wa Kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar anagombea urais wa Zanzibar

 

10 years ago

Mtanzania

Maalim seif ajitosa urais mara tano

ESTHER MBUSSI NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
MAKAMU wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amejitosa tena kwa mara ya tano kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar.
Kutokana na hatua hiyo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kijiandae kisaikolojia kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), itakayoongozwa naye huku akisema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo utaamua hatima yake kisiasa.
Maalim Seif ambaye pia ni Katibu wa CUF, aliyasema hayo jana mjini...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif achukua fomu ya Urais 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhiwa fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho na Katibu wa Chama Wilaya ya Magharibi A, Saleh Muhammed Saleh, mjini Zanzibar jana. (Picha na OMKR- Zanzibar).KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua rasmi fomu ya chama hicho kuomba kuwania Urais wa Zanzibar.

 

10 years ago

Mtanzania

CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe

seifNA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.

“Tunawataka wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea urais, wasimuachie Maalim...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar.

NA RAHMA SULEIMAN 7th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia United Democratic Party (UPDP) Mwajuma Ali Khamis, ameshindwa kurejesha fomu na kukosa sifa ya kugombea. Mwajuma alikuwa miongoni mwa wagombea 15 waliochukua fomu Tume ya […]

The post Dk. Shein, Maalim Seif kimeeleweka urais Z’bar. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani