Dar waendelea na kumeza dawa kijikinga na Minyoo, Matende na Mabusha
Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu.
Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar
Wauguzi mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.
Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.
Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jDTbENn1_Uk/VnMkHLWniKI/AAAAAAAINK8/sLie17qKqm0/s72-c/images.jpeg)
Huduma ya kugawa Dawa za Matende na Mabusha kuanza Disemba 19 Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-jDTbENn1_Uk/VnMkHLWniKI/AAAAAAAINK8/sLie17qKqm0/s400/images.jpeg)
Serikali kupitia Mpango wa wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo imetangaza tarehe 19 hadi 23 mwezi huu kuwa itaanza zoezi la kugawa dawa kwa makundi yanayopaswa kupata dawa za magojwa hayo.
Tamko hilo limetolewa na Katibu mkuu wa Wizara Ya Afya na Ustawi wa Jamii,Wazee,na Watoto Bw. Donald Mmbando alipokuwa anazungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele ni...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1ShdCoffVe0/VD_P7Ofe4HI/AAAAAAAGq88/OEskFyZ0M9o/s72-c/1222173_orig.jpg)
CHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1ShdCoffVe0/VD_P7Ofe4HI/AAAAAAAGq88/OEskFyZ0M9o/s1600/1222173_orig.jpg)
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014.
Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 15.
Amesema kampeni hiyo itaambatana na utoaji wa matone ya Vitamini...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Matatizo yanayowakabili wagonjwa wa mabusha, matende hapa nchini
10 years ago
Habarileo27 May
Watoto miaka mitano kupewa vitamin A, dawa za minyoo
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikishirikiana na Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam wamepanga kutoa matone ya vitamin A na dawa ya minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Wakazi Dar waaswa kujitokeza kwenye chanjo ya Matende na Surua-Rubella
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la utoaji wa chanjo ya Matende , Mabusha, dawa za Minyoo, matone ya Vitamini A, na Surua – Rubella, litakalofanyika katika mikoa yote ya Tanzania kuanzia Oktoba 18 hadi 24, 2014.
Kaimu Mgaga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Hawa Kawawa akisisitiza umuhimu wa chanjo ya Surua –Rubella itakayotolewa wakati wa zoezi la chanjo Oktoba 18 hadi 24 na umuhimu wake...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WOlvU2ZcCbA/VDfruFJNTzI/AAAAAAACsmU/3nzqVdZXdaE/s72-c/unnamed.jpg)
WAKAZI DAR WAASWA KUJITOKEZA KWENYE CHANJO YA MATENDE NA SURUA-RUBELLA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-WOlvU2ZcCbA/VDfruFJNTzI/AAAAAAACsmU/3nzqVdZXdaE/s1600/unnamed.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BOJzNUWkLMM/VDfruXkRa0I/AAAAAAACsmY/mTSHgZ1Iirw/s1600/unnamed.jpgh.jpg)
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Wahudumu wa Afya watumia mifuko ya plastiki kijikinga
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Ardhi yapasuka na kumeza magari 12