Huduma ya kugawa Dawa za Matende na Mabusha kuanza Disemba 19 Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-jDTbENn1_Uk/VnMkHLWniKI/AAAAAAAINK8/sLie17qKqm0/s72-c/images.jpeg)
Na Shamimu Nyaki - Maelezo
Serikali kupitia Mpango wa wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yasiyopewa kipaumbele leo imetangaza tarehe 19 hadi 23 mwezi huu kuwa itaanza zoezi la kugawa dawa kwa makundi yanayopaswa kupata dawa za magojwa hayo.
Tamko hilo limetolewa na Katibu mkuu wa Wizara Ya Afya na Ustawi wa Jamii,Wazee,na Watoto Bw. Donald Mmbando alipokuwa anazungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Dar waendelea na kumeza dawa kijikinga na Minyoo, Matende na Mabusha
Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu.
Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar
Wauguzi mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.
Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.
Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1ShdCoffVe0/VD_P7Ofe4HI/AAAAAAAGq88/OEskFyZ0M9o/s72-c/1222173_orig.jpg)
CHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1ShdCoffVe0/VD_P7Ofe4HI/AAAAAAAGq88/OEskFyZ0M9o/s1600/1222173_orig.jpg)
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014.
Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 15.
Amesema kampeni hiyo itaambatana na utoaji wa matone ya Vitamini...
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Matatizo yanayowakabili wagonjwa wa mabusha, matende hapa nchini
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6XYOWdO67R0/VII3n2UZ79I/AAAAAAABGMI/Oaz4ArokC5g/s72-c/IMG_2963.jpg)
MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DISEMBA 17-21, 2014 JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-6XYOWdO67R0/VII3n2UZ79I/AAAAAAABGMI/Oaz4ArokC5g/s1600/IMG_2963.jpg)
Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Wizara ya Elimu na Ufundi pamoja na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wameandaa maonyesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu (TIEE) yanayotarajiwa kufanyika Disemba 17 hadi 21 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_uYNo1OPj3Y/VTy_ztdGGbI/AAAAAAAHTXM/JF0MphHSbEM/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qZ9WqkUXq4w/VdLnAyU1vSI/AAAAAAAHx9c/HM4DyE5g_X4/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jsD5bW_xbBs/VdLnBrRAGuI/AAAAAAAHx90/Av0iTdZ1-rU/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-eeASJWSguhk/U2e3vw793cI/AAAAAAAFfxk/7dO3T-kYyRg/s72-c/download+(2).jpg)
mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani
![](http://2.bp.blogspot.com/-eeASJWSguhk/U2e3vw793cI/AAAAAAAFfxk/7dO3T-kYyRg/s1600/download+(2).jpg)
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID SADIKI AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD) KWA KUTOA HUDUMA BORA