Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asalaam aleikum ndugu zangu, tunapenda kuwakumbusha kuungana nasi Jumamosi hii ya Agosti 22

Asalaam aleikum ndugu zangu, tunapenda kuwakumbusha kuungana nasi Jumamosi hii ya Agosti 22 kwenye kisomo cha arobaini ya mzee wetu marehemu Abass Khalfan Mang'ulo, itakayofanyika katika msikiti wa Al Baqi 148 Fort Pleasant Street, Springfield, Mass kuanzia saa 10 jioni mpaka saa tatu usiku. Ukipata taarifa hizi tafadhali waarifu na wengine. Kama ilivyo ada tunatanguliza shukran. Wabillah Toufiq.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Darasa la Kiswahili DMV. Jumamosi hii na kila jumamosi

Darasa la Kiswahili hapa Washington DC na vitongoji vyake linaratibiwa na Jumuiya ya waTanzania ya hapa DMV
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
 Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE

 

9 years ago

MillardAyo

Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii..

Kwa wale watu wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM najua jina la Diva sio geni kwao, mtu wa nguvu kabisa ambaye huwa anadondosha love stories kuanzia saa nne usiku Jumatatu mpaka Alhamisi. Love yake inaendelea na yuko tayari kuisogeza kwa watu wengine pia, Christmas ni Ijumaa ijayo, siku chache zimebaki kuifikia lakini mrembo Diva kaona […]

The post Hata wewe unaweza kuungana na Diva the Bawse siku ya Christmas kuikamilisha hii.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake - maiti kuchomwa moto Jumamosi

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30.  Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989. Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na...

 

11 years ago

GPL

MICHAEL AGUSTINE LUKINDO MTANZANIA ALIYEFARIKI WISCONSIN WANATAFUTWA NDUGU ZAKE MAITI KUCHOMWA MOTO JUMAMOSI‏

Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake. Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama...

 

11 years ago

Mwananchi

Dengue kuwakumbusha usafi wa Mazingira

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen amewataka viongozi wa Mkoa wa Mwanza kuhakikisha wanasimamia utunzaji mazingira ili kukabilina na ugonjwa wa Dengue ambao umeshika kasi Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania tunapenda matanuzi, hatuogopi madeni

Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), kila mwaka imekuwa ikitoa taarifa kuhusu kukua kwa deni la taifa na kuihadharisha Serikali ya Tanzania kuhusu tabia yake ya kupenda kukopa kwa ajili ya matumizi yasiyo na msingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani