Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dengue kuwakumbusha usafi wa Mazingira

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen amewataka viongozi wa Mkoa wa Mwanza kuhakikisha wanasimamia utunzaji mazingira ili kukabilina na ugonjwa wa Dengue ambao umeshika kasi Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi waaswa kuzingatia usafi wa mazingira

IMG_6063

Afisa Afya wa Manispaa ya Temeke Bw.Willium Muhemu akifafanua kwa waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Manispaa hiyo katika kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi pamoja na watu wote wanaochafua mazingira,Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispa hiyo Bi. Joyce Nsumba.(Picha zote na FRANK MVUNGI-maelezo).

IMG_6115

Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw.Ernest Mamuya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu hatua...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BEACON WAHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe akizungumza na Baadhi ya waandi wa habari hawapo pichani leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO Jiji Dar es Salaam,juu ya kuhamasisha kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho wa mwezi, kushoto ni Rais wa serikali ya wanafunzi  Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Komanya Eliasi kulia ni Kapeni Meneja,Braiton Blige.Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kyela wajinoa usafi wa mazingira Kibaha

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kwa lengo la kujifunza jinsi ya uboreshaji na usafi wa mazingira....

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA USHINDI WA USALAMA NA USAFI WA MAZINGIRA

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akikabidhi Cheti cha ushindi wa kwanza kwa Meneja Usalama na Mazingira wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda, kutambua mchango wa TBL kutunza mazingira, wakati wa kilele cha Wiki ya Mazingira, iliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada ya kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika soko la...

 

9 years ago

Mwananchi

Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira

Tukio la juzi ambapo Tanzania iliadhimisha miaka 54 ya Uhuru kwa wananchi kufanya usafi wa mazingira, bila shaka litakuwa limeacha kumbukumbu ya kudumu katika nyoyo za wananchi wengi. Tukio hilo litabaki kuwa la kihistoria, kwani tumezoea utamaduni wa kuadhimisha sherehe za kitaifa kwa kufanya mambo mengi yasiyo ya lazima, huku zikitumika fedha nyingi ambazo zingeweza kuelekezwa katika shughuli za maendeleo.

 

9 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa


 Baahi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumzaa na wananchi baada ya kumalizika kwa  zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini...

 

10 years ago

GPL

BEACON AFRICA KUFANYA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA DAR

Mwenyekeiti wa Kamati ya Kampeni ya Usafi wa Mazingira , Omary Rajab Kombe (mwenye kofia), akitoa tamko, Mkurugenzi Mtendaji wa Beacon Africa, David Silomba (kushoto) na Meneja Kampeni wa usafi ,Brighton Balige. Mkurugenzi Mtendaji, David Silomba (katikati) akitoa ufafanuzi. …

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MSTAAFU WA UVCCM KINONDONI ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MAZINGIRA

 Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo  baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.  Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ...

 

9 years ago

Michuzi

ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA NCHI NZIMA DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani