KAMPUNI YA BEACON WAHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe akizungumza na Baadhi ya waandi wa habari hawapo pichani leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO Jiji Dar es Salaam,juu ya kuhamasisha kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho wa mwezi, kushoto ni Rais wa serikali ya wanafunzi Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Komanya Eliasi kulia ni Kapeni Meneja,Braiton Blige.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBEACON AFRICA KUFANYA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA DAR
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Wasanii wahamasisha usafi Temeke
WASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, leo wanatarajia kufanya shoo katika viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhamasisha usafi katika wilaya hiyo. Kabla ya...
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI
11 years ago
Mwananchi21 May
Dengue kuwakumbusha usafi wa Mazingira
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Wananchi waaswa kuzingatia usafi wa mazingira
Afisa Afya wa Manispaa ya Temeke Bw.Willium Muhemu akifafanua kwa waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Manispaa hiyo katika kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi pamoja na watu wote wanaochafua mazingira,Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispa hiyo Bi. Joyce Nsumba.(Picha zote na FRANK MVUNGI-maelezo).
Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw.Ernest Mamuya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu hatua...
10 years ago
MichuziTBL YAPATA USHINDI WA USALAMA NA USAFI WA MAZINGIRA
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Madiwani Kyela wajinoa usafi wa mazingira Kibaha
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamefanya ziara ya mafunzo kwa kuitembelea Halmashauri ya Mji Kibaha kwa lengo la kujifunza jinsi ya uboreshaji na usafi wa mazingira....
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Vitendea kazi ni muhimu kwa usafi wa mazingira
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7BXWgr7OVqw/VojdvAeMUHI/AAAAAAAIQB8/Vu8zb962_HM/s72-c/3d7ebff8-f80d-4ee6-b63d-ac8abd6892ff.jpg)
Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa
![](http://1.bp.blogspot.com/-7BXWgr7OVqw/VojdvAeMUHI/AAAAAAAIQB8/Vu8zb962_HM/s640/3d7ebff8-f80d-4ee6-b63d-ac8abd6892ff.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_puTnAnS1ZM/VojdvT22yjI/AAAAAAAIQCA/QmyDnzeTWfU/s640/9e6e5d27-606d-4e8b-9b76-6c497ce98c0c.jpg)