ASCARIS; MINYOO INAYOSUMBUA WENGI
![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDARYCeEiUGVeEvqR*vfY2NrpR7YlHos403mYB5LgBNFSJg*srkJ*r2jBlfOMfsp4UImnHo1QKeznU5q-1lnqJ27/ascarismalefemale.jpg?width=650)
Mnyoo ipo ya aina tofauti inayodhuru binadamu. Scaris lumbricoides ni mnyoo aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya binadamu na ndiyo wanaosababisha ugonjwa wa minyoo. Â Inakadiriwa kwamba karibu robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu na umeenea sana katika maeneo ya nchi za joto na maeneo yenye hali duni ya usafi. ATHARI Minyoo ya jamii ya Ascaris wanaweza kusababisha upungufu wa damu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Jun
Mil.1.5 hatarini kuambukizwa minyoo
WATU milioni 1.5 ambao ni sawa na asilimia 24 ya Watanzania wote wakiwemo watoto milioni sita wenye umri wa kwenda shule, wanaishi katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa minyoo.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Mwanaume auawa na minyoo yenye Saratani
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Minyoo yaondolewa kwenye ubongo wa mtu
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar
Wauguzi mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.
Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.
Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero...
10 years ago
Habarileo27 May
Watoto miaka mitano kupewa vitamin A, dawa za minyoo
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikishirikiana na Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam wamepanga kutoa matone ya vitamin A na dawa ya minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-G1sB-3-TnPY/XkpkYMw6X7I/AAAAAAAAQNM/U6ZokifxnSgpX5WcsidWXR1J-0MlDxtLgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200217-WA0061.jpg)
MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-G1sB-3-TnPY/XkpkYMw6X7I/AAAAAAAAQNM/U6ZokifxnSgpX5WcsidWXR1J-0MlDxtLgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200217-WA0061.jpg)
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Dar waendelea na kumeza dawa kijikinga na Minyoo, Matende na Mabusha
Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam waliokutwa na mpiga picha wetu wakimeza vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye kituo cha kusubiri abiri wa Kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam.Aliyekaa chini na aliyesimama (aliyeshika kipima urefu) ni watumishi wa Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakigawa dawa hizo baada ya kumpima mwananchi urefu.
Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Bongo531 Jul
Diamond na Wema wanaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram, wafahamu wengi 9
9 years ago
Bongo528 Sep
Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch