Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanaume auawa na minyoo yenye Saratani

Mwanaume mmoja ameaga dunia baada ya kuambukizwa saratani na minyoo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000


Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi  wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

10 years ago

Habarileo

Mil.1.5 hatarini kuambukizwa minyoo

WATU milioni 1.5 ambao ni sawa na asilimia 24 ya Watanzania wote wakiwemo watoto milioni sita wenye umri wa kwenda shule, wanaishi katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa minyoo.

 

10 years ago

GPL

ASCARIS; MINYOO INAYOSUMBUA WENGI

Mnyoo ipo ya aina tofauti inayodhuru binadamu. Scaris lumbricoides ni mnyoo aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya binadamu na ndiyo wanaosababisha ugonjwa wa minyoo.
 Inakadiriwa kwamba karibu robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu na umeenea sana katika maeneo ya nchi za joto na maeneo yenye hali duni ya usafi. ATHARI
Minyoo ya jamii ya Ascaris wanaweza kusababisha upungufu wa damu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Minyoo yaondolewa kwenye ubongo wa mtu

Mwanamume mmoja nchini Marekani anazidi kupata afueni baada ya kufanyiwa upasuaji wa kumuondoa minyoo kutoka ndani ya ubongo wake.

 

9 years ago

Global Publishers

Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar

1.Wauguzi wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa maeneo ya Manzese Dar.Wauguzi  mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.2.Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari wa kuchukua vidonge vya kuzuia, ninyoo, matende na mabusha kwenye zahanati ya manzese.Mmoja wa akina mama akiwa kwenye mstari kuchukua vidonge vya kuzuia minyoo, matende na mabusha kwenye Zahanati ya Manzese.3.,Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kulia) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye zahanati ya Manzese kwa ajili ya kinga ya chanjo ya minyoo,matende na mabusha.Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Azizi Msuya (kushoto) akimnywesha dawa mtoto aliyefika kwenye Zahanati ya Manzese kwa ajili ya chanjo hiyo.4.Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi huo wa chanjo.Dkt. Azizi Msuya akihojiwa na wanahabari kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo.5.Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Manzese, Nestory Kobero akihojiwa na mwanahabari.Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Manzese, Nestory Kobero...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto miaka mitano kupewa vitamin A, dawa za minyoo

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikishirikiana na Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam wamepanga kutoa matone ya vitamin A na dawa ya minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.

 

5 years ago

Michuzi

MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO

Naibu Waziri wa Kilimo.na Mifugo Abdallah Hamis Ulega akizungumza katika mkutano wa siku moja wawataalam wa mifugo na Watafiti katika ukumbi wa Mauntmeru Holel leo.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani