Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 96 ya mikate madukani haina ubora

Chakula anachokula mtu lazima kiwe na muda wa matumizi. Kutokuwa na tarehe ya ukomo wa kutumika ni kukiuka haki ya mlaji. Kama hiyo haitoshi ni lazima kiandaliwe katika mazingira mazuri na kukidhi viwango vya matumizi kwa mujibu wa sheria za nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Yummies Bakery mabingwa wa kuoka mikate

Yummies Bakery ni mabingwa wa kuoka mikate mbalimbali, wakitumia kauli mbiu yao ya '' we bake to differ'' yaani tunatofautisha uokaji, kwa kuoka mikate bora kabisa na yenye ladha Nzuri; wapo Sinza Mori wanatizamana na kituo cha mafuta cha Big Bon , pia wana branches zao Masaki Chole Road Kituo cha Tax, Mwenge nyuma ya police post na Mbezi njia ya chini Kituo cha Msikitini, ukifika hapo utapata mikate mizuri ya brown , sweet breads, white breads, milk breads, maandazi , chapati , Pan Cakes,...

 

5 years ago

Michuzi

Magereza kuanzisha Kiwanda cha Mikate

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Makadirio ya Mapato, Matumizi na Miradi ya Maendeleo ya Jeshi la Magereza kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya wizara, jijini Dodoma.Aliyesimama ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Ambayuu Kitiku.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza wakati wa Kikao cha Makadirio ya Mapato,...

 

9 years ago

Michuzi

Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya uchunguzi wa DNA yaonyesha baba si mzazi halali wa mtoto

Na Beatrice Lyimo-Maelezo
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA)  yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je unawezaje kununua chakula na bidhaa madukani kwa usalama?

Wataalamu wanatoa ushauri kuhusu namna unavyoweza kuepuka maambukizi ya virusi vya corona unaponunua chakula.

 

10 years ago

Michuzi

FRORA MBASHA: DVD MPYA YA NIPE NGUVU YA KUSHIDA SASA IKO MADUKANI

Mungu amekuwa mwema kwangu tangia nilipomkubali kuwa mwokozi wangu na nguzo yangu. Nimeona Mungu akinishindia na magumu ninayopitia na niliyoyapitia katika maisha yangu. Nimeona Mungu huyu unayemwabudu kila siku akinivusha na kunitia moyo pale ninapoona akili yangukufikiri jinsi ya kutatua yale yaliyombele yangu. Mungu huyu ni waajabu kwangu, kaniwezesha katika uaandaji wa albamu hii mpya ya "NIPE NGUVU YA KUSHINDA". Nazidi kumshangaa Mungu huruma zake na fadhili zake kwangu - Flora Mbasha

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Baada ya matoke bado hala hala madukani london...

Mandhari ya Jiji la London lenye wakazi milioni nane ni ya mvua mvua zisizokwisha na baridi baridi. Leo kuna kajua mshenzi. Nimefika dukani kununua matoke. Ndizi za nadra kupatikana mjini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani