Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu ataka majadiliano kuhusu B Haram

Katibu Mkuu wa kanisa la Anglicana duniani Askofu mkuu Josia Idowu Fearon amewataka viongozi wa dini ya kikristo nchini Nigeria kufanya kazi kwa karibu na waislamu ili kupambana na tishio la Boko Haram nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Askofu akosoa Ulaya kuhusu Boko Haram

Askofu mmoja nchini Nigeria ametoa wito kwa mataifa ya magharibi kufanya juhudi za kutosha dhidi ya Boko Haram kama ilivyofanywa dhidi ya washambuliaji wa kiisilamu nchini Ufaransa.

Askofu Ignatius Kaigama amesema mataifa ya magharibi yanapuuza sana tisho linalotokana na Boko Haram kwa watu wa Nigeria.

Askofu huyo wa Jos, aliongeza kwamba rasilimali zote zinatakiwa kutumika ili kuzuia juhudi za kundi hilo kukita mizizi nchini Nigeria. Pia amesema kwamba dunia inapaswa kuonyesha ari ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa ataka majadiliano na IS

Papa Francis ametaka milango ya majadiliano na kundi la wanamgambo wa dola ya kiislam iwe wazi ,ingawa hali ni mbaya wanakotawala.

 

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA ASKOFU WA KKKT ATAKA D.N.A

Na Joseph Ngilisho, Arusha
MAPYA tena! Lile sakata la Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera kudaiwa kuzaa watoto wawili na muumini wake, Peace Sylvester limeendelea kuchukua sura mpya kufuatia mwanamke huyo kumtaka askofu wakapime D.N.A. Askofu Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera. Mbali na...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAJADILIANO KUHUSU UFADHILI WA MIRADI YA MAENDELEO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA JAPAN KWA MWAKA 2014/2015.

Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip I. Mpango (wa pili kushoto) akifungua mkutano wa majadiliano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan kuhusu ufadhili wa miradi ya maendeleo kwa mwaka 2014/15.katika ukumbi  wa mikutano wa Wizara ya Fedha na yaliratibiwa na Ofisi ya Rais, Tume ya MipangoWajumbe kutoka Serikali ya Tanzania wakifuatilia michango mbalimbali kutoka kwa wajumbe wa mkutano huo. Miradi iliyowasilishwa ilihusisha Sekta za...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka Katiba ya Zanzibar irekebishwe

Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume wakisaini Hati ya Muungano.ASKOFU wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka ushauri wa Rais uheshimiwe

Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias IsujaWATANZANIA wameshauriwa kuendelea kuheshimu hadhi na mamlaka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwa kuthamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa wananchi, kwani mamlaka hayo yanatoka kwa Mungu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu ataka UKAWA warudi bungeni

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini (TMC), Mathew Byamungu ametoa wito kwa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea kwenye Bunge la Katiba pindi litakapoanza tena. Askofu...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka madoa ya amani kufutwa

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Eusebius Nzigilwa amesema kwa mwaka huu yapo matukio yamejitokeza na kuweka doa katika suala la amani ya nchi hasa katika maeneo ya kidini, kisiasa na kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani