Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AT awataka wasanii kuacha kuwadharau ma-director wa Tanzania

Msanii wa muziki wa mduara, AT amechukizwa na baadhi ya wasanii wa Tanzania kuwadharau ma-director wa nyumbani. Akizunzungumza na Bongo 5 leo, AT amesema wasanii kuendelea kufanya video na waongozaji wa nje ni kuupoteza kabisa muziki wa Tanzania. “Wasanii wanalaumu sana directors wa Tanzania, wanadiriki kusema kuwa Tanzania hakuna directors, lakini siyo kweli inatakiwa ifikie […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Aslay awataka wasanii wachanga kuacha tamaa

Muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Aslay amewaka wasanii wachanga kuepuka tamaa za mafanikio ya haraka. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa alijitahidi kupambana na watu ambao walikuwa wanajaribu kumlaghai ili wampoteze. “Unajua watu wanavyokuona sehemu wanaweza wakakulaghai ili uone hapafai,”amesema. “Mimi nimekutana na watu kama hao, sana lakini kwenye kichwa changu nilikuwa naamini ninachokifanya. Pia tamaa […]

 

9 years ago

Bongo5

AY awataka wasanii kuacha kuogopa kuuliza mambo wasiyoyajua

Rapper AY amewataka wasanii wa Tanzania kuacha woga wa kuuliza vitu wasivyovijua. AY ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa wasanii wengi wa Tanzania ni waoga wa kuuliza. “Wasanii wa Tanzania ni waoga kuuliza yale wasioyajua au wanayajua ila hawana uhakika nayo,” alisema. “Wengine hudhani kuwa wanajua mengi kuliko waliowatangulia. Tusiwe waoga kuuliza na kufatilia yanayohusu tasnia […]

 

9 years ago

Bongo5

Mwasiti awataka wasanii kuacha kufuata mkumbo kufanya video nje

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Mwasiti Almas amewataka wasanii kuacha kufuata mkumbo wa kwenda kufanya video nje wakati bado hawajajipanga jinsi ya kufanya mwendelezo.

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Akizungumza na Bongo5 leo, Mwasiti amesema wasanii wanatakiwa kujiangalia mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi hayo.

“Kwanza kabisa tusifuate mkumbo, tusifuate mkumbo kwa sababu fulani na fulani wamefanya video Afrika Kusini na wewe au wote tukafanye video Afrika Kusini,” amesema.

“Kwanza lazima ujiangalie kama kweli huo ni wakati wako. Hata mimi...

 

11 years ago

Mwananchi

awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele

Tanzania imejaaliwa kuwa na vipaji vya wanamuziki wengi wa miondoko ya kila aina na baadhi yao wakifanya kazi zaidi ya moja katika fani hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

AFANDE SELE AWAASA WASANII KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA,AWATAKA KUACHA TABIA YA KUBAGUANA.

  Afande Sele akiwa na watoto wake wawili alioachiwa na Marehemu Mama Tunda,ambao ni Tunda na Asante Sanaa wakiwa wamepozi mbele ya Camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana,Walipokwenda kwenye Arobaini iliyoanyika mtaa wa Amani mjini Morogoro. Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Mkali wa Rhymes Afande Sele akiushukuru Uongozi wa Clouds Media Group sambamba na kuwashukuru Wasanii hao waliofika kutoa mkono wa pole kwa familia ya Mama mzazi wa marehemu Mama Tunda (aliyekuwa mke wa Msanii...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni vema kutafiti kabla kuwadharau wasanii

WIKI iliyopita kwenye gazeti hili (la Raia Mwema) kulikuwa na makala yenye kichwa: “Baraza jipya

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Bongo5

Director Khalfani asema wasanii wanachangia kuwafanya ma-director wa TZ wasifike viwango vya kimataifa

Director wa video za muziki nchini, Khalfani amesema kuwa kitendo cha wasanii wa Tanzania kutotumia waongozaji wa video wa hapa nyumbani ni moja ya sababu inayowafanya ma-director hao wasifike viwango vya kimataifa. “Hivi we unajua kwamba wasanii wa Tanzania ndio wanachangia asilimia nyingi tu kutushusha sisi,” alisema Khalfani kupitia Planet Bongo ya EA Radio. “Ila […]

 

11 years ago

Mwananchi

Naibu waziri awataka wanawake kuacha woga

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amewataka wanawake nchini kuacha woga na kujibweteka badala yake wabadilike, wajijengee uwezo na kujitokeza katika fursa mbalimbali za kuwania uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Obama awagusa Wakenya, awataka kuacha ukabila

>Rais wa Marekani, Barack Obama amezungumzia safari yake ya kwanza aliyoifanya Kenya, mwaka 1988 na kupoteza begi lake baada ya kushuka katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani