ATCL yaanza safari za MbeyaÂ
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua safari za kwenda mkoani Mbeya kupitia Uwanja mpya wa Ndege wa kimataifa wa Songwe likitumia ndege yake mpya yenye uwezo wa kubeba abiria...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziATCL yaanza safari za kwenda Mbeya
11 years ago
GPLATCL YAANZA SAFARI YA KWENDA MBEYA
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
ATCL yarejesha safari za Burundi
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua rasmi huduma za usafiri wa anga kutoka Dar es Salaam kuelekea Burundi kupitia Kigoma. Hatua hiyo imekuja baada ya hali ya amani kutengamaa...
9 years ago
MichuziATCL yarejesha safari zake kuelekea Mwanza.
Abiria wakipanda kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Taifa, Air Tanzania (ATCL) aina ya CRJ-200 tayari kuelekea Mwanza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Jumamosi jioni baada ya shirika hilo kurejesha safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza baada ya kusimamisha safari hizo tangu mwezi Agosti mwaka jana. Shirika hilo litafanya safari zake kati ya majiji hayo mawili mara mbili kwa siku katika siku zote saba za wiki. Abiria wakishuka toka kwenye...
10 years ago
MichuziATCL yaongeza safari zake visiwa vya Comoro.
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limetangaza uamuzi wake wa kuongeza idadi ya safari zake kuelekea visiwa vya Comoro hatua inayolenga kuendana na ongezeko la mahitaji ya huduma za shirika hilo hususani katika kuelekea kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kwa sasa shirika hilo linatoa huduma zake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma na Mtwara kila siku. Sambamba na kutoa huduma...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Treni mpya yaanza safari za Mwanza
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TRENI mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.
“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na...
9 years ago
Mwananchi18 Aug
Mabasi ya kasi yaanza safari za majaribio
10 years ago
Habarileo18 Dec
UBT yaanza kuchemka safari za mikoani
KUELEKEA Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, huduma ya usafiri wa mabasi katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo imeanza kuwa ngumu kutokana na mabasi kwenda katika baadhi ya mikoa mbalimbali kujaa na hivyo kuanza kuleta usumbufu miongoni mwa wasafiri.