Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBT yaanza kuchemka safari za mikoani

KUELEKEA Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, huduma ya usafiri wa mabasi katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo imeanza kuwa ngumu kutokana na mabasi kwenda katika baadhi ya mikoa mbalimbali kujaa na hivyo kuanza kuleta usumbufu miongoni mwa wasafiri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SUMATRA yaanza ukaguzi wa tiketi katika mabasi yaendayo mikoani

 Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) imeanza ukaguzi wa nauli katika vyombo vya usafirishaji hapa nchini hasa kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani kutokea jijini Dar es salaam.
SUMATRA imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa kuna baadhi ya vyombo vya usafiri hasa mabasi ya Mikoani kuwa na tabia ya kuongeza nauli hasa katika kipindi hiki cha msimu sikukuu za Krismas na Mwaka mpya,ambapo mapema leo asubuhi maafisa wa Mamlaka ya Usafirishaji Tanzania (SUMATRA) walitia timu katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ATCL yaanza safari za Mbeya 

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua safari za kwenda mkoani Mbeya kupitia Uwanja mpya wa Ndege wa kimataifa wa Songwe likitumia ndege yake mpya yenye uwezo wa kubeba abiria...

 

11 years ago

Michuzi

ATCL yaanza safari za kwenda Mbeya

 Kaimu mkurugenzi wa  biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania (ATCL) Juma Boma (wa pili kulia, Kaimu mkurugenzi wa ufundi Patrick Itule (wa tatu kulia) na Meneja wa Kanda ya Mbeya wa shirika hilo Shabani Mtambalike (kulia) wakishangilia, pamoja na wageni wengine, kuwasili kwa ndege ya ATC katika uwanja wa ndege wakimataifa wa Songwe  jumatatu mchana. Shirika hilo lilitumia ndege yake mpya aina ya CRJ-200 kuzindua safari zake ambapo itasafiri mara nne kwa wiki.  Kaimu...

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi ya kasi yaanza safari za majaribio

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amezindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), mradi unaotekelezwa jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

ATCL YAANZA SAFARI YA KWENDA MBEYA

Kaimu mkurugenzi wa  biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania, Juma Boma (wa pili kulia) akipanda ndege mpya aina ya CRJ-200 katika uwanja wa ndege Julius Nyerere muda mfupi kabla ya kuondoka kwenda uwanja wa ndege wakimataifa wa Songwe. Shirika hilo limeanza safari zake kwenda Mbeya ambapo itaruka mara nne kwa wiki.…

 

10 years ago

Mtanzania

Treni mpya yaanza safari za Mwanza

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
TRENI mpya ya kisasa ya Deluxe jana imeanza safari zake kutoka Dar es Salaam kuelekea Mwanza.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Meneja Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Midladjy Maez, alisema safari hii ni ya pili tangu treni hiyo izinduliwe Aprili Mosi mwaka huu ambapo ilikwenda Kigoma.
“Safari za Delux zitakuwa kwa wiki mara moja, siku ya Jumapili itaondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 2:00 usiku ikiwa na mabehewa 15.
“Treni hiyo itakuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

AFC yaanza safari kurejea Ligi Kuu

TIMU ya AFC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Arusha baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi Laibon ya Longido kwa mabao 9-1 katika mchezo wa mwisho wa hatua ya...

 

10 years ago

GPL

SAFARI ALL AFRICA TOURNAMENT YAANZA LEO DAR

Mshiriki toka Kenya akionyesha ujuzi wake. Mshiriki toka Afrika Kusini akionyesha ufundi huku washiriki toka Kenya wakimtazama.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani