Athari za uvuvi wa mabomu Tanzania
Mtindo wa kuvua Samaki kwa mabomu Tanzania unavyotatiza utulivu wa bahari. Na Gladys Njoroge
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Fahamu athari za uvuvi wa mabomu
TANZANIA inasifika duniani kwa mazingira yake ya bahari ambayo imeiweka kwenye ramani miongoni mwa nchi maarufu. ”Uvuvi wa mabomu unaharibu mazingira ya chini ya bahari ambayo huwezesha samaki kuzaana na...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akisikiliza hoja na malalamiko kutoka kwa mmoja wadau wa sekta ya uvuvi katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso ( wa kwanza kutoka kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wakikagua punda...
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Athari za kiafya migodini Tanzania
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Athari za Nyerere katika chaguzi za Tanzania
9 years ago
StarTV12 Nov
 Tanzania yatishiwa na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa ukosefu wa bajeti.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani inayokabiliwa na athari kubwa zinazosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa duniani, huku ikiwa haina bajeti mahususi ya kukabiliana na tishio hilo, hatua inayopelekea athari zake sasa kuanza kuonekana dhahiri.
Pamoja na kuwepo kwa fungu dogo la fedha zinazotolewa na Serikali za kukabiliana na athari hizo, bado kuna tatizo la mfumo duni wa ufuatiliaji, hali inayowafaya wadau kuitaka Serikali kulitazama upya suala hilo la bajeti.
Madhara...
10 years ago
VijimamboAthari 12 Za Sheria Mpya Ya Masuala ya Mitandao ( TANZANIA VYBERCRIME ACT, 2015 ) Iliyopitishwa Bungeni
Sheria hii ni muhimu duniani kote na ndio maana hata Tanzania ilikuwa inangojea kupata sheria ya kuongoza masuala ya mitandao yaani Cyber Law kutokana na uhalifu wa aina mbalimbali wa masuala ya mitandao.
Sifa kuu ya sheria ya kuongoza masuala ya mitandao ni kuweka bayana makosa ya mitandaoni na pia kuyatolea adhabu. Sheria hii inayopitishwa kwa dharura madhara yake ni:
Moja, Kifungu 7 (2b): Mpokeaji wa ujumbe (receiver) anaweza kushtakiwa kwa kosa la kupokea ujumbe ambao sheria imeufanya kuwa...
5 years ago
MichuziBrighterMonday Tanzania yazindua kampeni ya ‘Umoja Wakati wa Shida’ kusaidia Waajiri Kukabiliana na Athari za Janga la Corona
Kampeni hii inalenga kuwezesha uendelevu wa juhudi za makampuni na biashara kwa kuziwesesha kufanya udahili na kuajiri watendaji sahihi ili kuongeza ufanisi...
10 years ago
Habarileo13 Jun
Migogoro ya uvuvi yapungua
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imesema kwamba migogoro ya uvuvi Unguja na Pemba iliyochangiwa na kuwepo kwa uvuvi haramu katika maeneo ya mwambao wa pwani, sasa imepungua.